Askofu Mhogolo amshambulia Dr Slaa na CHADEMA; asema anawahadaa Watanzania na Siasa za Utapeli

Siyo kazi kubwa kuwatambua mashoga,mojawapo ya dalili zao ni mshikamano na umoja wao.Mhogolo ni mtetezi mkubwa wa USHOGA.
 
Askofu Mhogolo amelewa divai ya ijumaa kuu, kama asinge kuwa amelewa divai angemsifia Dr slaa kwa kuwataja mafisadi na kulaumu serikli ya CCM kwa kutowafikisha mahakamani watuhumiwa hao na zaidi ya yote angewashauri wale wote waliotajwa kama sio mafisadi wamshitaki slaa kwa kuwachafulia majina yao!!!! lakini wanaubavu wa kufanya hivyo????
 
huyu askofu nadhani ni mmoja kati ya watu wanaofaidika na ufisadi nchini.Chadema na Dr Slaa wamekuwa maarufu
kabla hata ya kuwataja hao mafisadi.Amekuwa bungeni miaka 15 bado umaarufu alikuwa nao,na hao hao
aliowataja pale mwembeyanga wengine tayari wako mahakamani.Suala la huyo askofu kusema kuwa Slaa
apeleke ushahidi wake mahakamani sio sahihi na ajue kabisa siasa bila umaarufu sio siasa,mbona hakulaumu
JK alivyosema anawafahamu wala rushwa na wauza madawa kwa majina mbona hakumwambia JK
naye apeleke ushahidi mahakamani?
 
Mhashmu Askofu: Unakumbuka hii:

Bishop Mdimi Mhogolo will live to remember this year`s Easter as he was barred from conducting mass at the Cathedral in Dodoma following controversy over his alleged acceptance of same sex sexual relations, which he has denied. Last week, three parishes of the Anglican Church, Central Tanganyika Diocese in Dodoma announced a total rejection of the clerical services including benediction, baptism and confirmation of their children by Bishop Mhogolo.

wana JF msamehe huyu anazaidi ya pepo nadani ya kichwa chake
:A S-key::A S-key::A S-key::A S-key::A S-key::A S-key::A S-key:
 
Back
Top Bottom