Askofu methodius kilaini unastahili kufungiwa jiwe na kutoswa baharini

Simba mnyama

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
348
129
Siku ya jana tarehe 26 Novemba 2014 taifa letu limeandika historia nyingine mbaya kutokea katika uongozi wa awamu ya nne ya utawala wa nchi hii. Historia hii iliandikwa wakati taarifa ya Kamati ya PAC iliposomwa bungeni kufuatia matokeo ya ukaguzi maalum wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali katika Akaunti ya Tegeta ESCROW iliyokuwa katika Benki Kuu ya Tanzania.

Miongoni mwa watu waliotajwa kuchota au kupewa mgao kutoka katika akaunti hiyo ni Askofu
Methodius Kilaini wa Kanisa Katoliki aliyechota shilingi 80.9, Askofu Eusebius Nzigirwa aliyepata mgao wa shilingi milioni 40.4 na Mchungaji Alphonce Twimann Ye Simon aliyepata pia mgao wa shilingi milioni 40.4.

Nikiwa kama mkristo mkatoliki nimechukizwa sana na kitendo cha Askofu wangu Methodius Kilaini aliyechota shilingi 80.9. Kweli imenisikitisha sana! Baba Askofu utatueleza nini ukiwa pale madhabahuni?

Utakemea nini wewe uliye fisadi na usiyejali uchungu na mateso ya umaskini wanayopata watanzania. Hakika Askofu uliyekabidhiwa jukumu la kulea vyema, kuhubiri haki, kukemea uchafu na dhambi ya wizi unastahili adhabu kali! Kwa kitendo hiki cha kukwaza waumini wako, na kuchafua kanisa unastahili ufungiwe jiwe shingoni na kutoswa baharini.

Ushauri kwa viongozi wako waliokuteua ni kwamba usimamishwe mara moja kazi ya Uaskofu, ufunguliwe mashitaka katika mahakama ya nchi na ya kanisa na kisha hatua kali zichukuliwe dhidi yako.

Ushauri ninaokupatia wewe ni kwamba, rudisha hizo pesa mara moja, katubu kwa Kanisa na Mungu wako na baada ya hapo usubiri hatua nyingine zitakazochuliwa na mamlaka ya nchi na ya kanisa.
 
Attachments

  • Bishop Methodius Kilaini.jpg
    Bishop Methodius Kilaini.jpg
    4.4 KB · Views: 3,699
Siku ya jana tarehe 26 Novemba 2014 taifa letu limeandika historia nyingine mbaya kutokea katika uongozi wa awamu ya nne ya utawala wa nchi hii. Historia hii iliandikwa wakati taarifa ya Kamati ya PAC iliposomwa bungeni kufuatia matokeo ya ukaguzi maalum wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali katika Akaunti ya Tegeta ESCROW iliyokuwa katika Benki Kuu ya Tanzania.

Miongoni mwa watu waliotajwa kuchotaau kupewa mgao kutoka katika akaunti hiyo ni Askofu

Amechota au amepewa? Ripoti ya jana inasema wazi kuwa haina tatizo na mgao alioufanya James Rugemalira
 
Maneno makali bila kujua dhima halisi ya mgao ni kama chuki binafsi. ....tume ilisema haina tatizo na mgao huo wala haikueleza sababu ya wao kupewa mamilioni
 
natamani nitoke kwenye ukatoliki, manake sijui umuamini nani, ukija kwa wenzetu wajahidina wao ndio balaa, mara boko haramu, alshabab, uamsho, sasa hawa kkkt na wakatoliki ni wizi, bora nijisalie kivyangu tu sala zangu zitasikilizwa
 
Lakini Kama ni swadaka kwanini iingizwe kwenye a/c yake binafsi na sio akaunti ya jimbo?
 
Hawezi kupokea pesa bila kuoji inakotokea na kwa nini kapewa so anajua kila kitu hivyo yampasa arudishe pesa hiyo na atua kali zichukuliwe zidi yao
 
Tukianza kuwasakama waliogawiwa pesa tutatoka nje ya mlengo wa sakata hili. Ninavyoona mimi; waliochota pesa wanajulikana hao warudishe pesa zote tena ikiwezekana wafilisiwe mali zao zitaifishwe na serikali kwani pesa hiyo imeishazaa faida. Pia hao watu washitakiwe. Hao waliogawiwa pesa watajuana na aliyewagawia ila ufanyike uchunguzi kubaini sababu za watu hao kugawiwa pesa kama waligawiwa katika misingi ya kupeana rushwa washitakiwe(mtoaji na mpokeaji). Huenda hizo pesa wamekopeshwa sasa kama mtu amekopa pesa kosa lake ni nini?. Sitetei watu waliogawiwa pesa ila tukihangaika na dagaa wakati papa wanapeta na ndo wanalisababishia umaskini taifa letu tunafanya ndivyo sivyo.
 
Hv, kama muumini wa kawaida huwa anaungama zambi zake kwa padre na anasamehewa, huyu askofi MLAINI anatakiwa aende kwa nani akaungame zambi zake ili asamehewe?
 
hivi huyu akisimama madhabahuni atawaambia nini waamini wake?

jamani kosa la kilaini ni nini?mbona kapewa tu hela na kawaida hawa watu huwa wanapewa hela na huwa hatuulizi zimetoka wapi?wanapewa magari,wanajengewa nyumba kwa wazazi wao n.k.kama ag na serikali hawakuona tatizo ingewezekana vp mtu mdogo kama kilaini atilie shaka hela ya ruge?
 
Siku ya jana tarehe 26 Novemba 2014 taifa letu limeandika historia nyingine mbaya kutokea katika uongozi wa awamu ya nne ya utawala wa nchi hii. Historia hii iliandikwa wakati taarifa ya Kamati ya PAC iliposomwa bungeni kufuatia matokeo ya ukaguzi maalum wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali katika Akaunti ya Tegeta ESCROW iliyokuwa katika Benki Kuu ya Tanzania.

Miongoni mwa watu waliotajwa kuchotaau kupewa mgao kutoka katika akaunti hiyo ni Askofu Methodius Kilaini wa Kanisa Katoliki aliyechota shilingi 80.9, Askofu Eusebius Nzigirwa aliyepata mgao wa shilingi milioni 40.4 na Mchungaji Alphonce Twimann Ye Simon aliyepata pia mgao wa shilingi milioni 40.4.

Nikiwa kama mkristo mkatoliki nimechukizwa sana na kitendo cha Askofu wangu Methodius Kilaini aliyechota shilingi 80.9. Kweli imenisikitisha sana! Baba Askofu utatueleza nini ukiwa pale madhabahuni?

Utakemea nini wewe uliye fisadi na usiyejali uchungu na mateso ya umaskini wanayopata watanzania. Hakika Askofu uliyekabidhiwa jukumu la kulea vyema, kuhubiri haki, kukemea uchafu na dhambi ya wizi unastahili adhabu kali! Kwa kitendo hiki cha kukwaza waumini wako, na kuchafua kanisa unastahili ufungiwe jiwe shingoni na kutoswa baharini.

Ushauri kwa viongozi wako waliokuteua ni kwamba usimamishwe mara moja kazi ya Uaskofu, ufunguliwe mashitaka katika mahakama ya nchi na ya kanisa na kisha hatua kali zichukuliwe dhidi yako.

Ushauri ninaokupatia wewe ni kwamba, rudisha hizo pesa mara moja, katubu kwa Kanisa na Mungu wako na baada ya hapo usubiri hatua nyingine zitakazochuliwa na mamlaka ya nchi na ya kanisa.
Kwa kweli inabidi Askofu utuelezee yaani tumechafuliwa saana
 
sadaka ingeenda kanisani au baada ya kupewa angetangazia kanisa kuwa kapokea mgao na anauweka kwenye sadaka kitendo cha kukaa kimya ....
 
jamani kosa la kilaini ni nini?mbona kapewa tu hela na kawaida hawa watu huwa wanapewa hela na huwa hatuulizi zimetoka wapi?wanapewa magari,wanajengewa nyumba kwa wazazi wao n.k.kama ag na serikali hawakuona tatizo ingewezekana vp mtu mdogo kama kilaini atilie shaka hela ya ruge?

Hvi unapewa 80.9m bila kujua za nn na zimetoka wap?. Duh labda 1000 ndo sitohoji sana ila 80M sio hela ya kupokea tu eti zawad...kilaini ni mshenzi na mwizi kama wezi wengine
 
Siku ya jana tarehe 26 Novemba 2014 taifa letu limeandika historia nyingine mbaya kutokea katika uongozi wa awamu ya nne ya utawala wa nchi hii. Historia hii iliandikwa wakati taarifa ya Kamati ya PAC iliposomwa bungeni kufuatia matokeo ya ukaguzi maalum wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali katika Akaunti ya Tegeta ESCROW iliyokuwa katika Benki Kuu ya Tanzania.

Miongoni mwa watu waliotajwa kuchotaau kupewa mgao kutoka katika akaunti hiyo ni Askofu
Methodius Kilaini wa Kanisa Katoliki aliyechota shilingi 80.9, Askofu Eusebius Nzigirwa aliyepata mgao wa shilingi milioni 40.4 na Mchungaji Alphonce Twimann Ye Simon aliyepata pia mgao wa shilingi milioni 40.4.

Nikiwa kama mkristo mkatoliki nimechukizwa sana na kitendo cha Askofu wangu Methodius Kilaini aliyechota shilingi 80.9. Kweli imenisikitisha sana! Baba Askofu utatueleza nini ukiwa pale madhabahuni?

Utakemea nini wewe uliye fisadi na usiyejali uchungu na mateso ya umaskini wanayopata watanzania. Hakika Askofu uliyekabidhiwa jukumu la kulea vyema, kuhubiri haki, kukemea uchafu na dhambi ya wizi unastahili adhabu kali! Kwa kitendo hiki cha kukwaza waumini wako, na kuchafua kanisa unastahili ufungiwe jiwe shingoni na kutoswa baharini.

Ushauri kwa viongozi wako waliokuteua ni kwamba usimamishwe mara moja kazi ya Uaskofu, ufunguliwe mashitaka katika mahakama ya nchi na ya kanisa na kisha hatua kali zichukuliwe dhidi yako.

Ushauri ninaokupatia wewe ni kwamba, rudisha hizo pesa mara moja, katubu kwa Kanisa na Mungu wako na baada ya hapo usubiri hatua nyingine zitakazochuliwa na mamlaka ya nchi na ya kanisa.

MAKAO MAKUU YA KANISA LAKE YAPO ROME NDANI YA ITALY,AMBAPO NDIPO MAKAO MAKUU YA MAFIA(WAZEE WA DEAL CHAFU DUNIANI).
HIVYO BASI KANISA NI TAALAM KWA DEAL ZA DIZAINI HIYO REF.

Banco Ambrosiano was an Italian bank that collapsed in 1982. ... Vatican Bank was Banco Ambrosiano's main shareholder, and the death of Pope John Paul I in ....
 
Back
Top Bottom