johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,532
- 141,335
Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani Dr Alex Malasusa amesema Jumapili ya tarehe 28/11 itakuwa siku ya kuomba baraka ya mvua kwa ajili ya Tanzania na dunia.
Askofu Malasusa amesema Tanzania ni kimbilio la wengi hivyo tutaomba baraka za Mungu ili kama tulivyowahi kuwalisha Zimbabwe kwa mahindi basi baraka hizo ziendelee kutenda kazi ndani yetu sote.
Mungu ni mwema wakati wote!
Source: Upendo tv