Askofu Mafuja ataka vyama vya upinzani kuondoa hofu kuibiwa kura huku akitoa wito kwa NEC kusimamia haki kweli kama wasemavyo

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Vyama vya Upinzani Nchini vimetakiwa kuondoa hofu ya kuibiwa kura katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28 mwaka huu bali wawe na imani na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwamba itahakikisha inasimania haki na ukweli.

Hayo yalibainishwa leo na Askofu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT) Dayosisi ya Mwanza, Philipo Mafuja wakati akizungumzia mwenendo wa siasa kuelekea uchaguzi mkuu.

Amesema katika kipindi hiki kunaweza kuwa na hofu ya uwepo wa wizi wa kura kwa wagombea wa vyama vya upinzani iliyotanda hivyo waondokane na dhana hiyo kwani NEC imewakikishia wananchi kwamba itazingatia sheria zote huku ikitenda haki.

"Wameamua kuzunguka nchi nzima na kukutana na wadau mbalimbali wa uchaguzi wakiwemo viongozi wa dini,makundi ya walemavu,asasi mbalimbali ili kuwaondoa hofu na kuwahakikishia haki siku bado 19 endapo chama chochote wanamalalamiko bado wana muda wa kutoa na suala hilo likapatiwa ufumbuzi, NEC kwa asilimia kubwa imejiandaa na maadalizi yapo vizuri," amesema

Amesema kutokana na maadalizi yalivyo ametoa ushauri kwa NEC wasimamie ukweli kama ilivyosema kwani kwa kufanya hivyo uchaguzi utakuwa wa haki katika mchakato wote wa kuhesabu kura hadi kutangaza matokeo na endapo itajaribu kwa namna yeyote kufanya upendeleo ama kwenda kinyume na taratibu na kupindisha ukweli itaweza kuhatarisha amani ya nchi.

Askofu Mafuja amewataka wananchi ambao ni wafuasi wa vyama na wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kuelewa sio viongozi wote wanaogombea wanaweza kuwa viongozi hivyo wakubaliane na matokea pindi kura zisipotosha ili kulinda amani.

"Vijana wengi nchi mbalimbali wao ndio wanaotumika na wanasiasa hivyo wajitahidi kujiadhali sana wataharibu maisha yao na kupoteza malengo yao kwani kuna maisha baada ya uchaguzi na matokeo hivyo msikubali kutumika kwa kupewa elfu 5,000 ama 10,000 kufanya fujo baada ya mgombea kuona dalili ya kutoshinda na kutafuta mazingira ya kuvuruga amani, Tanzania ni kisiwa cha amani na utulivu kwa miaka mingi tunasikia tu kwenye vyombo vya habari lakini ukweli vita sio kitu kizuri itakapotokea watu wengi wataumia wakiwemo wanawake, walemavu, wazee na watoto," amesema
 
Dalili ya mvua ni mawingu, mwenendo wa mambo ndio unatuonyesha kuwa uchaguzi hauwezi kuwa huru na haki kwani kabla hata ya uchaguzi wenyewe tayari tume wameshawaengua wagombea kibao wa vyama vya upinzani.

Kuna upendeleo wa wazi unaoonyeshwa na hii tume kwa ccm huku ikiionea kiwazi kabisa vyama vya upinzani.

Pamoja na kwamba tume ya uchaguzi imekuwa ikiibeba ccm katika chaguzi zote toka 1995 lakini hii ya sasa imevunja rekodi kwa kuonyesha wazi kabisa kwamba wako pamoja na ccm, (They're bed fellow's).
 
Huyu ndiye Askofu mwenye hekima. Sio wale wakina baalamu wa kizazi hiki. Wanao waaminisha cdm, act kwa jambo lisilowezekana.
Vyama vilivyo ongoza kukashimu miondo msingi, miundombinu nayo imewakataa. Mwalimu, Zitto ajali zimewakumbusha waache hii tabia yao ya kishetani.
 
Vyama vya Upinzani Nchini vimetakiwa kuondoa hofu ya kuibiwa kura katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28 mwaka huu bali wawe na imani na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwamba itahakikisha inasimania haki na ukweli.

Hayo yalibainishwa leo na Askofu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT) Dayosisi ya Mwanza, Philipo Mafuja wakati akizungumzia mwenendo wa siasa kuelekea uchaguzi mkuu.

Amesema katika kipindi hiki kunaweza kuwa na hofu ya uwepo wa wizi wa kura kwa wagombea wa vyama vya upinzani iliyotanda hivyo waondokane na dhana hiyo kwani NEC imewakikishia wananchi kwamba itazingatia sheria zote huku ikitenda haki.

"Wameamua kuzunguka nchi nzima na kukutana na wadau mbalimbali wa uchaguzi wakiwemo viongozi wa dini,makundi ya walemavu,asasi mbalimbali ili kuwaondoa hofu na kuwahakikishia haki siku bado 19 endapo chama chochote wanamalalamiko bado wana muda wa kutoa na suala hilo likapatiwa ufumbuzi, NEC kwa asilimia kubwa imejiandaa na maadalizi yapo vizuri," amesema

Amesema kutokana na maadalizi yalivyo ametoa ushauri kwa NEC wasimamie ukweli kama ilivyosema kwani kwa kufanya hivyo uchaguzi utakuwa wa haki katika mchakato wote wa kuhesabu kura hadi kutangaza matokeo na endapo itajaribu kwa namna yeyote kufanya upendeleo ama kwenda kinyume na taratibu na kupindisha ukweli itaweza kuhatarisha amani ya nchi.

Askofu Mafuja amewataka wananchi ambao ni wafuasi wa vyama na wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kuelewa sio viongozi wote wanaogombea wanaweza kuwa viongozi hivyo wakubaliane na matokea pindi kura zisipotosha ili kulinda amani.

"Vijana wengi nchi mbalimbali wao ndio wanaotumika na wanasiasa hivyo wajitahidi kujiadhali sana wataharibu maisha yao na kupoteza malengo yao kwani kuna maisha baada ya uchaguzi na matokeo hivyo msikubali kutumika kwa kupewa elfu 5,000 ama 10,000 kufanya fujo baada ya mgombea kuona dalili ya kutoshinda na kutafuta mazingira ya kuvuruga amani, Tanzania ni kisiwa cha amani na utulivu kwa miaka mingi tunasikia tu kwenye vyombo vya habari lakini ukweli vita sio kitu kizuri itakapotokea watu wengi wataumia wakiwemo wanawake, walemavu, wazee na watoto," amesema
Vyama vya Upinzani Nchini vimetakiwa kuondoa hofu ya kuibiwa kura katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28 mwaka huu bali wawe na imani na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwamba itahakikisha inasimania haki na ukweli.

Hayo yalibainishwa leo na Askofu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT) Dayosisi ya Mwanza, Philipo Mafuja wakati akizungumzia mwenendo wa siasa kuelekea uchaguzi mkuu.

Amesema katika kipindi hiki kunaweza kuwa na hofu ya uwepo wa wizi wa kura kwa wagombea wa vyama vya upinzani iliyotanda hivyo waondokane na dhana hiyo kwani NEC imewakikishia wananchi kwamba itazingatia sheria zote huku ikitenda haki.

"Wameamua kuzunguka nchi nzima na kukutana na wadau mbalimbali wa uchaguzi wakiwemo viongozi wa dini,makundi ya walemavu,asasi mbalimbali ili kuwaondoa hofu na kuwahakikishia haki siku bado 19 endapo chama chochote wanamalalamiko bado wana muda wa kutoa na suala hilo likapatiwa ufumbuzi, NEC kwa asilimia kubwa imejiandaa na maadalizi yapo vizuri," amesema

Amesema kutokana na maadalizi yalivyo ametoa ushauri kwa NEC wasimamie ukweli kama ilivyosema kwani kwa kufanya hivyo uchaguzi utakuwa wa haki katika mchakato wote wa kuhesabu kura hadi kutangaza matokeo na endapo itajaribu kwa namna yeyote kufanya upendeleo ama kwenda kinyume na taratibu na kupindisha ukweli itaweza kuhatarisha amani ya nchi.

Askofu Mafuja amewataka wananchi ambao ni wafuasi wa vyama na wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kuelewa sio viongozi wote wanaogombea wanaweza kuwa viongozi hivyo wakubaliane na matokea pindi kura zisipotosha ili kulinda amani.

"Vijana wengi nchi mbalimbali wao ndio wanaotumika na wanasiasa hivyo wajitahidi kujiadhali sana wataharibu maisha yao na kupoteza malengo yao kwani kuna maisha baada ya uchaguzi na matokeo hivyo msikubali kutumika kwa kupewa elfu 5,000 ama 10,000 kufanya fujo baada ya mgombea kuona dalili ya kutoshinda na kutafuta mazingira ya kuvuruga amani, Tanzania ni kisiwa cha amani na utulivu kwa miaka mingi tunasikia tu kwenye vyombo vya habari lakini ukweli vita sio kitu kizuri itakapotokea watu wengi wataumia wakiwemo wanawake, walemavu, wazee na watoto," amesema
Askofu atuhakikishie Uzakendo wake katika Imani Kwanza kabla hatujauangalia kwa upande was kisiasa.Kwani siku hizi wapo hata wajasiria Imani.
 
Back
Top Bottom