Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,602
- 5,569
Hivi mmepata kujiuliza baada ya kuona tangazo la askofu Masanilo?
Rev Masanilo
I am Full Time Alcoholic, Drugs and Sexy Addicts[\quote]
Mashaka yangu ni kwamba kama hajawatenda waumini wake ooops namaanisha kuwatenga basi watamtenga yeye!! Ama huku si ndio kule kutukanisha dini eti? (just kidding!)