Askofu kakobe atunisha misuli,aapa kutopitisha nyaya zozote labda Yesu aje

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Mkutano ulioshirikisha waziri ngeeleja na askofu kakobe umeshindwa kumalzika bila muafaka
huku waziri akihamaki na kukiiri kazi iliopo mbele ni nzito...ngeleja na wenzake wameshindwa kwa mara nyingine tena kumshawishi askofu kakobe awaachie waendelee na nguzo zao ambazo bico wamesema mbali uliopo zitawaathiri watu...

More info

nunua nipashe jumapili
 
03_10_74pyaf.jpg


Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zacharia Kakobe akihakiki vipimo vilivyoko karika mchoro wa mradi wa umeme unaotakiwa kupita katika eneo la kanisa hilo, Mwenge, Dar es Salaam. Mradi huo ulizua utata miezi miwili iliyopita na sasa muafaka unaelekea kupatikana. (Picha na Gloria Tesha) chanzo: http://www.habarileo.co.tz/

http://mrokim.blogspot.com/2010/03/hatimaye-kakobe-akubali-umeme-upite.html
 
siyo kwamba Kakobe hapendi maendeleo ya taifa letu, hapana, anawapenda sana wananchi wa taifa lake kuliko hayo maendeleo, yatamfaa nani ikiwa unayempelekea unamwandaria kifo? kwani lazima zipite hapo tu?
 
Ni kweli mpendwa nilikuwa naongea na mmoja wa waliokuwa kwenye kikao mh waziria lishindwa kuwahakikishia ule umbali waliosema wanataka kupitisha autawadhuru wananchi hasa w anaokaa pale na waumini...mungu nimwema akitaka kuokoa watu wa mwenge ana point mmoja kuokoa watu wote
askofu tuko nyuma yako maombi tu ndio yatawakimbiza

badru na mradi wake ..amechanganyikiwa na 10 perc washakula sijui watapitisha ardhini??
 
Ni kweli mpendwa nilikuwa naongea na mmoja wa waliokuwa kwenye kikao mh waziria lishindwa kuwahakikishia ule umbali waliosema wanataka kupitisha autawadhuru wananchi hasa w anaokaa pale na waumini...mungu nimwema akitaka kuokoa watu wa mwenge ana point mmoja kuokoa watu wote
askofu tuko nyuma yako maombi tu ndio yatawakimbiza

badru na mradi wake ..amechanganyikiwa na 10 perc washakula sijui watapitisha ardhini??
...imeandikwa... ilifaa mbegu moja kuoza ili kutoa zingine bora,....kama ilivyo kwa Bwana wetu YESU alikubari kuyakabiri mateso ili sisi tupone. hata kakobe amepata shutuma nyingi toka kwa watu wenye udini yaani itikadi bila elimu wengine wamemtukana lakini hakutishwa nao na sasa anasonga si kwa faida yake maana yeye hakai maeneo hayo angeweza kuachilia mbali
 
Maslahi yapi? Ya tv yake au ya wananchi? Huko kwingne inakopita amezuia?
 
Mkutano ulioshirikisha waziri ngeeleja na askofu kakobe umeshindwa kumalzika bila muafaka
huku waziri akihamaki na kukiiri kazi iliopo mbele ni nzito...ngeleja na wenzake wameshindwa kwa mara nyingine tena kumshawishi askofu kakobe awaachie waendelee na nguzo zao ambazo bico wamesema mbali uliopo zitawaathiri watu...

More info

nunua nipashe jumapili

haya maelezo si sahihi waulize waliofatilia taarifa kupitia TBC 1

na ripoti ya BICO ambayo Askofu aliikataa inasema umeme hauna athari.
Na vipimo vilivyofanyika pale mbele ya Waziri na Askofu na BICO vimeonyesha kuwa Askofu alidanganya katika kupinga ripoti ya BICO.
Askofu amekubali vipimo vya leo na ila ameomba umeme uwekwe katika eneo la kati la barabara.
Waziri alichosema ni kuwa anarudi ofisini na atatoa msimamo baadaye baada ya kikao na wadau wengine
 


hivi vipimo vilifanyika leo hii mbele ya Askofu Kakobe na Waziri Ngereja na kuonekana vipimo vya BICO ndiyo vipo sahihi, na vya Askofu ni feki
 
Muhashamu Kakobe:

The old saying ‘pride comes before a fall' is no idle old wives tale. It is pride that creates innumerable problems for both ourselves and the rest of the world. Yet, like the proverbial camel unable to stop eating thorns, it is our pride that enslaves us to continuing doing the wrong thing or creating unnecessary unhappiness.
Inflexibility
Our pride can create inflexibility. Because of our pride we are not able to change our mind, but instead we stick on a wrong course of action. We may know our initial decision is wrong, but, because of our pride we are unable or unwilling to back down and take a different course of action. We mistake this stubborness for strength, but actually it is a weakness because we are just unable to take a better course of action. (Pambanua kati ya msimamo na kiburi).
Always To Be Right.
If we have tremendous pride we don't like to be proved wrong. This can cause us to justify wrong actions to ourselves. We may even come to believe that they are justified. But, we will spend an inordinate amount of energy in proving to others or ourselves we are right. (Ung'ang'anizi usio na tija).
 


hivi vipimo vilifanyika leo hii mbele ya Askofu Kakobe na Waziri Ngereja na kuonekana vipimo vya BICO ndiyo vipo sahihi, na vya Askofu ni feki
Well sasa bwana Ng'azagala kwa hiyo unataka kutuambia Kakobe amekubali kuwa vipimo vyake ni feki kwa sababu tunavyosikia kila mtu kaondoka na msimamo wake kuwa vyamwenzake ni feki vya kwake ni sahihi labda utuambie sasa Kakobe kakubali yaishe
 
askofu kakobe ameonyesha jinsi ambavyo serikali isivyoweza kuwa na haki ya maamuzi ya juu ya raia wake kwa masuala yanayowahusu bila kushirikishwa. kushirikishwa ni njia pekee inayoweza kuondoa mtafaruku unaoweza kujitokeza kati ya serikali na watu wake. Na kweli ya tafiti za kitaalam ni haki ya pande zote kufikia muafaka. Binafsi naamini muafaka utafikiwa kwa pande zote yaani waumini na serikali kuridhika. MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE!
 
jamani kuna sheria /waraka wa kisheria (technical instruction) unaolekeza reserve za transmission line za umeme kama ifuatavyo 33kv minimum ni 5m reserve na 132kv minimum ni 30m reserve najua si wengi wanajua kuwepo kwa sheria/waraka ninaomba atakayeupata auweke jamvini
 
Ebu tuache umbea hapa mbona misikiti huwa inajengwa upya kukitokea project kubwa kama hizi, mfano msikiti wa mtongani wakati wa upanuzi wa barabara ya kilwa road. si mjengeeni kanisa jipya sehemu nyingine.
 
Kakobe kazi uzi maana afya za watu ni bora kuliko haya masuala ya umeme, hivyo kwanini wasipitishe chini ya ardhini na sio juu kama hivi ilivyo leo, Pia kwanini wanataka kupitisha huko na sio sehemu nyingine, Nakuombea kwa Mungu Askofu Kakobe
 
Kaka yangu Askofu Kakobe - kubali yaishe walisema ya kaisali mpe kaisali....

Ukizidi kuwabishia wasije sema umejenga kanisa ki makosa - hawashindwi kupekua na mengine wakakubambikia.

Kumbuka Serikali pia zina mamlaka kwa mungu. kama wamekuonea mwachie mungu mwenyewe yeye ndiye hakimu wa yote.

Nawapa pole waumini wako waliokaa pake kanisani karibia miezi mitatu usiku namchana huku jua, mvua na mbu vikiwatafuna- nawapa pole sana - mwenyezi mungu atawabariki sababu walifanya hivyo kuokoa kanisa la bwana.

Poleni sana waumini wote kwa ujumla ila kama nilivyosema - yote kwa mungu acheni mradi wa serikali upite.

Bwana apewe sifa -
Mwanakondoo ameshinda -
Tumsifu yesu kristoo -

Pamoja na hayo yote natoa wito pia kwa serikali yetu tukufu- jamani hii miundo mbinu iwe inaonekana kwenye Master plan zetu - sasa mpaka mtu anapewa kiwanja anamaliza kujenga then unamwambia kuna mradi wa serikali unapita hapa nje ya mlango wako? let us be proactive that reactive.. kakobe ana haki ya kulalamika.

Pamoja na mradi huu kupita ila kuna mengi tu ya kujifunza ili siku zijazo tusije tena kuingia katika matatizo haya yasiyo ya lazima.
 
Mbona Kakobe halali pale nje kulinda anawaachia wake na waume za watu walale na kushinda pale? Wakija FFU kupiga mabomu Kakobe atakuwa mstari wa mbele kuzuia mabomu au yeye atakuwa ndani na mke wake?
 
Jana nimezitazama sana nguzo zile toka Ubungo mpaka hapo Kijitonyama.Nguzo mbili tu hazijasimamishwa na ni hapo kwa Zachary...
1.Pale TCRA nguzu tatu zainapita na naamini kuwa hawa jamaa nao wana mitambo pia manake wana simammia masuala yote ya mawasiliano Tanzania.
2.Pale mwenge ni stand na ziko nguzo karibu nne na watu wapo chini yake
3.Pale COSTECH(sayansi maji machafu) zipo nguzo mbili na hawa ndio sayansi yenyewe na pana mitambo mizito ya internet
4.Pale zinapoishia ndio usalama wa taifa upo(next wall)

Sasa sielewi hapa Kakobe analalamikia nini.Hizo sehemu zote nilizotaja zina unyeti kimitambo na wako kimya iweje yeye tuu?Hapo mwenge si pana watu zaidi kuliko kanisa?Anataka Tanesco wafanye kama yale makaburi ya Iringa?
 
wafilipi 2:3 "Msitende neno lolote kwa kushindana wala majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwengine kuwa ni bora kuliko yeye".
Mithali 11:2 "Kijapo kiburi ndipo ijapo aibu bali hekima hukaa na wanyenyekevu".
 
Back
Top Bottom