Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

Rais wangu sikia kilio hiki cha kanisa hili watendee haki

kwa lipi la kakobeanazani sisi hatujui miujiza yake ya mapepo?
kwa taarifa yako hata maandiko matakatifu yanasema itafika wakati watakuja manabii wa uongo ,na wakati huu wa taifa kutaka kuanguka kwenye mikono ya ya nguvu za giza ndo kaboke hoja zake ni nyingi humu,

Yametimia. Viva UKAWA.
C'est vrai

hivi nyie mnazani hili taifa ni la shetani?viva ipi na ukawa ipi? au unamanisha ya
1,nguvu za mapepo ya kakobe
2,Nabii josho na mapep ya kineijeria
3,nguvu za mapepo ya gwajima yaliyomfanya kutukana viongozi wa dini?

nakupa swali la kutafakari kama umeenda shule

je alipokuwepo slaa ukawa mbona unabii wa kakobe hatukuuonana gwajima zidi ya ukawa ?

tumia akili yako kwa faida ya karama alizokupa mungu kwa faida ya taifa lako
naomba majibu,

Angalia vizuri barua ya unabii wa Kakobe ilipostiwa lini hapa jukwaani.
 
kwa lipi la kakobeanazani sisi hatujui miujiza yake ya mapepo?
kwa taarifa yako hata maandiko matakatifu yanasema itafika wakati watakuja manabii wa uongo ,na wakati huu wa taifa kutaka kuanguka kwenye mikono ya ya nguvu za giza ndo kaboke hoja zake ni nyingi humu,

wewe kijana, angalia maneno yako!
 
wewe hujamwelewa kakobe soma huo ujumbe vizuri, hii ilifanyika mwaka 2014. na mungu akasema nae, na akampa ujumbe naye akaufikisha, wakashindwa kuufanyia kazi sasa yanawapata.
 
Kakobe na siasa!!!

Mimi siyo fan wa Kikwete na kwa muda mrefu tu namrespect sana Kakobe kwa mambo mengine mengi isipokuwa tu yanapokuja maeneo mawili: 1. Kakobe unapenda sana kuwa comfrontationist kwa dini nyingine hata kwa madhehebu mengine ya Kikristo 2. Kakobe unapenda kumhusisha sana Mungu na hisia zako binafsi, na la kufurahisha inaonekana Mungu hajawahi kukubaliana na hisia zako.

Anyway, kwa vile wewe ni msomaji na mjuzi sana wa biblia kuliko mimi mshirika wa kawaida, lakini hata hivyo siamini kwamba vita yenu nyie walokole yapaswa kupiganwa bungeni kwenye majumbe ya katiba. Je Mt. Paulo hakusema vita yenu si ya damu na nyama bali ya roho huku mkipambana na mamlaka zisizoonekana katika ufalme wa giza?

Pambaneni huko huko na Mungu aweza kukushindia bila hata kuwa na uwakilishi bungeni.

wewe hujamwelewa kakobe soma huo ujumbe vizuri, hii ilifanyika mwaka 2014. na mungu akasema nae, na akampa ujumbe naye akaufikisha, wakashindwa kuufanyia kazi sasa yanawapata.
 
Ask.Kakobe:
* Kinyume na kutazamia kwa maadui
* Ashindanaye na Bwana atapondwa kabisa
*Hatuchagui rais malaika wala mtakatifu
*Tunataka nchi ya Tanganyika
 
F Senior Expert MemberArray

Join Date : 5th October 2010
Posts : 997
Rep Power : 24623714
Likes Received554
Likes Given115

[h=2]
icon4.png
Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu[/h]
attachment.php

attachment.php

attachment.php
paperclip.png
Attached Thumbnails

Kaa la Moto, Pasco, RedDevil and 58 others like this.

DHAMBI YAKO IMEFIKA MBINGUNI NA MUNGU AMEKUKATAA KWA SABABU WEWE NI MTESI WA WATANZANIA.

Ccm tapatapa kwa mateso na ulale usingizi wa milele kwa majuto.
 
tatizo nchi hii viongozi wanahabudu miungu na kutegemea waganga ndo maana wanafika mahali wana sema hakuna mungu zaidi ya hao waganga wao

Mwisho umefika, mara hii na ijulikane yupo Mungu mwenye mamlaka ya mwisho na sio miungu
 
mungu yupi kakobe anamzungumzia apollo....zeus .....poseidon.......krishnna mana ninayemjua haandiki barua
 
Kakobeeee! hahaha! kwa hiyo Mungu wa wapentekoste kakasirika kwa kuwa kikwete hakuteua wapentekoste kuwakilisha kanisa lako! akili ya mbayuwayu nachanganya na zangu aisee
 
Back
Top Bottom