Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

Mtu ambaye juzi aliwapangisha foleni waumini wake ili watolewe mapepo , leo foleni anapanga yeye ! hili ni jaribu kubwa sana

Mimi sifahamu huyu mtumishi wa Mungu ameona nini cha kushughulikia akiwa ndani ya siasa kwa 100% ambacho ameshindwa kutumia madhabahu ya Bwana Yesu Kristo kukishughulikia hicho kitu....!!

I have a feeling that, something is wrong somewhere....
 
Chezea awamu ya tano sadaka siku hizi hamna...waliokuwa wanatoa Mwekundu kama sadaka siku hizi wanatoa mia tano arafu jamaa alivyo na mkosi ile kashfa ya ngono iliyoibuliwa na Bashite ikammaliza...waumini kila wakifikiria ile video ya ngono na ufuska wa mtume wao hawaendi tena kanisani
Mungu anakuona aiseeee
 
Hahaha
Mfugaji hula mifugo yake au sio dada
Mtu mzima ovyo ujui au ufahamu kuwa mcheza kwao utunzwa..nampongeza Gwajima maana kama angelikuwa wewe dada zako wasingelipona kwa akili ulizo nazo ndogo za kulalia.
giphy.gif
 
Daa kweli akili hauna ndo maana waenga wanasema akili ni nywele ,kweli nimeamini wewe uliota kipara toka utotoni nakuona wewe bikira wa kiume toka utotoni ufanyagi mambo hayo . Lkn kwetu wanaume wa ukweli mbona tunafanyaga sana kujionesha kuwa tupo sawa.
Sawa umeshinda dada
IMG_20200716_001609_043.jpg
 
Daa hongera sana maana nafurahia sana ninapo hona Kijana mwenzangu anaejua kutumia vizuri rasilimari zake vizuri ,kuliko wewe unae mezea mate picha. Shikamoo Gwajima boy safi sana una dada yako akuchezeshee ....hicho wenye akili ndo wachompendea kwa sababu hakuna ambae apendi mambo ayo bhna
Hahaha hatimaye nimekufurahisha
 
Nakucheka wewe mwanaume unaye shadadia mambo haya wakati tunafanyaga wote kwa siri wakati ni halali yetu kufanya .kweli gwajiboy ni mtu jasiri na mwenye uthubutu wa kufanya mambo yote hazarani bila kuficha .solute gwaji wewe ni mwanaume wa kweli.
Ila si umefurahi
 
Sijaona sehem kwenye Bible makuhani wakishika nyadhifa za siasa na kuendelea kuwa makuhani, hii ni wazi kuwa gwajiboy amejiondoa kwenye ukuhani rasmi.
Sio kweli soma vizuri Biblia ndgu yngu, ukusoma hbr za Daniel alikuwa waziri mkuu huku akimtumikia Bwana.
 
Sio kweli soma vizuri Biblia ndgu yngu, ukusoma hbr za Daniel alikuwa waziri mkuu huku akimtumikia Bwana.
Una mwingine zaidi ya Daniel? Ndugu yangu yakupasa wewe ndio ukasome vizuri hizo habari za Daniel.
Angalia Daniel alikotoka hadi kwenda kupata cheo serikalini.
 
Back
Top Bottom