Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

Sawa Malaya wa Dodoma umenena vizuri naona unasubiri kwa hamu kweli bunge lianze ukafanye biashara.
Mimi siyo malaya huyo askofu mla kondoo ndo malaya naona unamtetea maana anakutafuna hapa umetulia chali kifo cha mende
20200716_112116.jpeg
 
Dini na siasa ndio mnaona haiwezekani kuchanganya Ila dini na biashara ndio sawaeee hebu acheni unyanyembe siasa ni haki ya kila Mtanzania
Kuna kitu unakosa. Au uelewa mdogo au unafanya kwa makusudi.

Ni vibaya kuingiza imani kwenye siasa kwa vile madhara yake ni makubwa. Kuna imani za kidini na imani za kikabila. Madhara ya kuingiza imani kwenye siasa ni mabaya sana. Biashara au kilimo siyo imani bali ni activity.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UKIONA wivu juu ya Hilo KWA hasira na wewe unaenda kuchukua Form vyama vyote ,na unagombeeeeaaaa
 
Sijaona sehem kwenye Bible makuhani wakishika nyadhifa za siasa na kuendelea kuwa makuhani, hii ni wazi kuwa gwajiboy amejiondoa kwenye ukuhani rasmi.
Mshamb ww ulishazowea kuona watumish wa mungu awajasoma lazima gwaj akushangaz
 
Kuna kitu unakosa. Au uelewa mdogo au unafanya kwa makusudi.

Ni vibaya kuingiza imani kwenye siasa kwa vile madhara yake ni makubwa. Kuna imani za kidini na imani za kikabila. Madhara ya kuingiza imani kwenye siasa ni mabaya sana. Biashara au kilimo siyo imani bali ni activity.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Kama ukielewi unacho kusema ? Umejikanyaga sana
 
Back
Top Bottom