Askofu Gwajima yuko njiani anaelekea msiba wa Ndesamburo, Moshi

Mau Mau

JF-Expert Member
Dec 30, 2012
672
478
Muda si punde askofu huyu kiboko ya Bashite ametua uwanja wa KIA tayari kuelekea Moshi kuhudhuria msiba wa babu yetu kipenzi Ndesa pesa.

Mungu awajaalie wote walioko njiani kuhudhuria kumuaga mpendwa wetu.

Daima tutamkumbuka kwa mengi na hasa moyo wake mkunjufu wa kusaidia
 
Muda si punde askofu huyu kiboko ya Bashite ametua uwanja wa KIA tayari kuelekea moshi kuhudhuria msiba wa babu yetu kipenzi Ndesa pesa.
Mungu awajaalie wote walioko njiani kuhudhuria kumuaga mpendwa wetu.

Daima tutamkumbuka kwa mengi na hasa moyo wake mkunjufu wa kusaidia

Tunashukuru kuwakilishwa na Gwajima.
 
FB_IMG_1496650083796.jpg
 
Ile semina ya kusoma riwaya za majini na uchawi aliyokuwa anawafundisha waumini wake kwa kusoma vitabu hivyo kanisani kashamaliza?
 
Back
Top Bottom