Mpendwa, kutekeleza "electromagnetic killings" ni rahisi sana. Fungua soketi, shika waya hai kwa mkono wako utapata "electromagnetic killing". Katika majimbo kadhaa ya Marekani walitekeleza hukumu ya mauti kwa miaka mingi kwa njia ya "Kiti cha umeme".Ujue wenzio walishaonngezeka Sana Kwa maarifa walikuwa kwenye biological weapons sasa wameenda mbele zaidi biological weapons wameadvance into electromagnetic electronic killings
Kwani kuna sehemu nimempinga hapo mkuu???😂😂
"Wapo wanaowaaminisha watu kuwa wamechanjwa na chanjo haijawaathiri kumbe wamechanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe" -- Askofu Gwajima
Namuona Gwajiboy kwenye Ubora wake sasa.
Haba ubora wowote. Akiombwa aseme ni nani aliyeingiza hizo chanjo mbovu na nani aliyechanja na kuchanjwa hizo feki ni akina na ataweza kusema??
Kama ubora ni kutoa taarifa yoyote tu - tuna kazi kubwa sana!! Na mnaoamini huo ndio ubora mna kazi kubwa zaidi!
How?Lol!This is a far reach...
Askofu Gwajima amewaambia wafuasi wake katika semina inayoendelea kanisani kwake kwamba wazipuuze taarifa zinazoenea mitandaoni kwamba yeye amechanjwa chanjo ya Corona.
Wapo wanaowaaminisha watu kuwa wamechanjwa na chanjo haijawaathiri kumbe wamechanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe" Askofu Josephat Gwajima
Gwajima amesema yeye hajachanjwa na haitatokea achanjwe.
Chanzo: Semina kanisani kwake
VIPANDE:
Safari hii watu watakufa kama mende
View attachment 1874166
Sisi hatuchanjwi, tutaishi na Corona
View attachment 1874169
Ni CHANJO FEKI, watakufa
View attachment 1875409