johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,583
- 141,384
Askofu Gwajima yuko mubashara Clouds tv akiongelea ugonjwa wa Corona na waandishi nguli Baby Kabaye na msaidizi wake Hassan Ngoma.
Gwajima anasema Corona ni tatizo litakalopita kama yale yote yalivyopita huko nyuma na watanzania wasiogope bali wasimame imara imara kwa sababu Mungu anatupigania, tena Mungu ni zaidi ya sabuni, maji na vitakasa mikono.
Gwajima anasema Wasukuma siyo wakabila ndio maana Ilemela imewahi kuwa na mbunge mchaga na Nyamagana imewahi kuwa na mbunge Mjaluo mh Wenje.
Ngoma anauliza Askofu Gwajima aliwahi kusema Makonda ana nguvu isiyojulikana nyuma yake, je ameishaijua hiyo nguvu inatoka wapi?......Gwajima anasema Makonda ni past tense kwa sababu alishamsamehe na anamuombea pia.
Maendeleo hayana vyama!