Refute facts zake kwanza! Hapo utapata uhalali wa hoja yako hii.Mfa maji haachi kutapatapa
Tutakuletea RashidiiiiiiiiiNileteeni gwajimaaaaaaaaaaa
Watanzania gani hao walioamua? Mbona mimi ni mtanzania na silitaki hilo lichama lako wala mgombea wako na cha ajabu zaidi we share the same tribe na mgombea wenu.Watanzania wameshaamua. Tukutane tarehe 28,29 na 30 hapahapa kupeana pongezi na pole
Chidboy bin Rashidboy...Aliyesema Waislam wanaabudu Majini ni nani vile!?
Amefikia ngazi ya KingwenduHuyu jamaa ni msanii kuliko Bambo
Amefikia ngazi ya Kingwendu