Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

Askofu Rashid au Askofu Chidi??:D

Jamani jihadharini na manabii wa uongo,
Rashidi tafadhali tuache!
Omba kura siyo uslimu jukwaani!

Everyday is Saturday................................:cool:
 
Gwajima aka Rashid kama ambavyo amejitambulisha. Tunaombea afanye vizuri kwenye Kampeni zake.

Nawaza akialikwa na wahindi au baniani anaweza sema pia alishawahi kuwa na jina la Shivj au Gulamal. Haya mambo hayataki hasira.

Siku ukisikia Gwajima anajina lingine ni Sunjeey Daaat au Shakil usishangae yote maisha
 
Anashangaa Rashidi
Hata angeitwa Abdulrahmaan, Abdullah ambayo ndiyo majina mazuri zaid katika uislaam bado hai justify upuuzu wake
Hakuna dini yenye majina na wala hakuna majina ya dini. Ni vile tu wazungu na waharabu walituzidi akili na kutufanya tushindwe kuthamini hata vizuri tulivyonavyo. Eti majina yao ndiyo majina ya dini wakati walikuwa wakiyatumia toka enzi za upagani!!!!
 
Gwajima hajawahi kupita kaole kweli huyu? Sasa ikawaje akasema usislamu ni dini ya majini na ukatoliki ni dini ya mpinga kristo?
 
Back
Top Bottom