Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,055
- 74,465
Na lile jengo alilosema linajengwa lenye urefu wa viwanja vitatu vya mpira nalo liko wapi? Tanzania hii ukiwa na uwezo wa kuzishika akili za watu hadi wakashindwa kutoka nje ya box unakuwa umefaulu sana, Gwajima anajua kuzishika akili za watu na kuwaaminisha hadi wakawa vipofu wa fikra na kushindwa kujitambua kwa kila waliloaminishwa, kiasi kwamba huwa hawana tena uwezo wa kuona wala kufikiri wala kuuliza juu ya walichoaminishwa.Yeah inapiga kazi na anaingiza mpunga mrefu ila ni treni ya kufikirika
Kiufupi Gwajima ana kipaww cha kuwa brainwash watu hadi kushindwa kujiuliza matokeo ya yote anayowaambia kuwa atawatekelezea. Ni majanga kwa taifa letu Tanzania.