Ni mpumbavu pekee ambaye hawezi kujiuliza maswali hayo. Inaonyeshsa hata darasa la saba hukukkmaliza wewe.Hivi Gwajima ameshawai kusema chanzo cha taarifa zake
Maana 5G pia katoa elimu na COVID n.k
Kabla ya kujibu chanzo cha taarifa za Gwajima weka hapa
Yeye sio mtalaam wa tiba,kwanini anatoa elimu ambayo kil mtu anajua hajaomea mambo hayo.
Mtagushi hadi mtakapopoteza rangi za macho.Itajulikana tuuView attachment 1879017
Bora Gwajima anayejitahidi kuamsha watu kuliko wewe unayeshadadia machanjo na unajua hatari yake!Kama mnadhani Gwajima ana nguvu ya kuzuia hii kitu basi jifikirieni tena na tenaView attachment 1879376
Wewe una shida binafsi na Gwajima, sio bure.Itajulikana tuuView attachment 1879017
Dah...anamuamsha nani? Hana uwezo huo na hatakuja kuwa nao... His powers are too feeble n limited... Haya ni maono ya mbali sana sio kama yale ya kufufua wafu fekiBora Gwajima anayejitahidi kuamsha watu kuliko wewe unayeshadadia machanjo na unajua hatari yake!
Brother unampigia mbuzi gitaa, Kuna watu ni akili zao ni ngumu kuelewa kiasi kisichoelezeka. Ni kama kifuu cha nazi hata ukichemshe vipi hakitikaa kilainikeDah...anamuamsha nani? Hana uwezo huo na hatakuja kuwa nao... His powers are too feeble n limited... Haya ni maono ya mbali sana sio kama yale ya kufufua wafu feki
Kwahiyo unatakaje?Dah...anamuamsha nani? Hana uwezo huo na hatakuja kuwa nao... His powers are too feeble n limited... Haya ni maono ya mbali sana sio kama yale ya kufufua wafu feki
Ina maana Gwajima alikuwa akizifahamu siri za ndani za bwana màgufool na vipi kuhusu huyu mama yetu mvaa ushungiJibu ni moja tu. Walimuamini wakamtumia katika shida zao mbalimbali za kijamii, mahusiano, siasa, kiroho na hata kifedha..anawajua nje ndani.
We unatakaje?Kuna mahali nimesema hivyo?
Tukiwa wadogo tilichanjwa chanjo kibao mbona tupo hadi leo? Why kill us now?Mkuu elewa kuwa zana ya kumalizwa Haufi leoleo ... Ila kuna vitu MUHIMU vya utu wako vinaondoka taratibu MIAKA Hadi MIAKA. . na vizazi vyote vinavyofuata vitakuwa vinapata CHANJO hii kama ilivyo Ndui na nyinginezo ambayo hupigwa mtoto mara anapozaliwa
@mshanar ITOSHE KUSEMA NEW WORD ORDER NDO INAELEKEA KUWA FULLFILLED?Sidhani kama wataweza kukujibu..
Huu ndio ujinga ninaosema umejaa Tanzania. Hivi unajua madhara ya ki uchumi yanayosababishwa na Covid19?Sasa huko America Sasa hivi Biden kasema Mtu akichanjwa Chanjo apewe dollar 100 ni 100x2399= 239,900
Kwa hii kauli ya Biden unavyoiona wewe ni MAARIFA
GWAJIMA Anaposema kuna watu wamepewa Ela nimeanza kuamini laki 239,00*10,000(watu)=239,000,000.
Je watu million 1