Askofu Gwajima ni nani Tanzania?

Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
26,191
2,000
Yeah inapiga kazi na anaingiza mpunga mrefu ila ni treni ya kufikirika
Na lile jengo alilosema linajengwa lenye urefu wa viwanja vitatu vya mpira nalo liko wapi? Tanzania hii ukiwa na uwezo wa kuzishika akili za watu hadi wakashindwa kutoka nje ya box unakuwa umefaulu sana, Gwajima anajua kuzishika akili za watu na kuwaaminisha hadi wakawa vipofu wa fikra na kushindwa kujitambua kwa kila waliloaminishwa, kiasi kwamba huwa hawana tena uwezo wa kuona wala kufikiri wala kuuliza juu ya walichoaminishwa.
Kiufupi Gwajima ana kipaww cha kuwa brainwash watu hadi kushindwa kujiuliza matokeo ya yote anayowaambia kuwa atawatekelezea. Ni majanga kwa taifa letu Tanzania.
 

Joseph lebai

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
6,024
2,000
Kwa sasa anajulikana kwa mambo mawili, mwanzilishi wa shirika lake la ufufuko na uzima na mbunge wa Kawe.
 

mbarika

JF-Expert Member
Apr 1, 2015
2,787
2,000
Huyu kwa jina la kuzaliwa alituambia mwenyewe kwamba anaitwa bwana Rashidi. Anafahamika kwa ubwatukaji usio na soni pamoja na uzinzi uliopitiliza bingwa wa kula kondoo wa bwana.

Hajawahi kuwa mwana CCM Ila aliteuliwa by default tu na ukanda pamoja na kutupa karata wakati ambapo Jimbo kulikuwa linatekwa kwa nguvu yoyote na hapakuwa na mtu sahihi kwa wakati huo.

Ni chizi anayesema anaweza kufufua wafu Ila alikuwa kimya pale Mwendazake alipotutoka ambaye ndio alimpa huo ulaji na ndio ilikuwa wakati sahihi kwake kuudhihirishia umma kwamba ana hizo power.
Alikausha kama hajawahi kutoa hiyo huduma
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom