Askofu Gwajima: Mtu wa kuninyamazisha ninapohubiri ukweli hayupo na bado hajazaliwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,898
141,835
Hii kauli inaweza kumgharimu askofu Gwajima japo hata mwasisi wa CCM Mwalimu Nyerere aliwahi kusema CCM siyo baba wala mama yake.

Ngoja tumsikie komredi Shaka.

Mkuu Pascal Mayalla anza kupiga jaramba!
 
Kwan Unahisi Shaka, Atafanya Gwajima akiwa kanisan anahubiri, asiwambie waumin wake juu ya Imani yake???
 
Alikua anazungumza na waumini wake ndani ya kanisa, alikua anazungumza kama Askofu sio mbunge,
Unahoji vipi mambo ya Imani yake?angeingea na wana kawe tungekua na sababu lakini kanisani hatuna hoja

Sent from my Lenovo K10a40 using JamiiForums mobile app
 
Hii kauli inaweza kumgharimu askofu Gwajima japo hata mwasisi wa CCM Mwalimu Nyerere aliwahi kusema CCM siyo baba wala mama yake.

Ngoja tumsikie komredi Shaka.

Mkuu Pascal Mayalla anza kupiga jaramba!
Nikwambie ukweli.
Gwajima amejiandaa kisaikolojia kuwa anything can happen kwa ubunge wake.
Tena mkimtoa bungeni ndipo atamwaga radhi vilivyo.
Sipati picha atakavyombagaza Ndugai alivyo na makando kando kibao.
Dawa ya kumnyamazisha Gwajima, mpigeni risasi kama Lissu.
 
Hii kauli inaweza kumgharimu askofu Gwajima japo hata mwasisi wa CCM Mwalimu Nyerere aliwahi kusema CCM siyo baba wala mama yake.

Ngoja tumsikie komredi Shaka.

Mkuu Pascal Mayalla anza kupiga jaramba!
Utasubiria sana. Kama Mtume Paul alipoumwa na Nyoka wezake wanasubiria atakufa sasa muda unazidi kwenda Paul hafariki mpaka akachoka
 
Back
Top Bottom