Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,433
- 11,733
Gwajima atatuvusha wananchi wa Kawe tumuunge mkono
Gwajima is great
Gwajima is great
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi pia nmeshangaa gwajima kageukwaAlipokuwa anamshambulia Makonda mlikuwa mnaenda hadi kujazana kanisani kwake kwa kujiita mnaenda kulipuliwa bomu na kupewa ubuyu na kumuita yule ndio askofu sasa!
Alipomtukana Pengo mkamuita yule ndio mtumishi wa kweli wa Mungu.
Alipikuwa mshenga wa kumleta Lowasa chadema na kusababisha waliokipigania chama kama kina Slaa na wengineo kuindoka mkamuita majina yote mazuri mazuri.
Leo hii mmemugeuka kisa kahamia upande wa pili? Aliyewapoka akili zenu ana dhambi sana.
Acheni demcrasi itawale, muacheni Mdee apambane si anapendwa sana Kawe? Hofu kwa Gwajima inatoka wapi?
Lala na wewe acha wanaume wajadili mambo ya msingi
Mbunge anatatuaje migogoro ya ardhi, nafikiri ni swala LA kiserikali zaidi na kisheria, hvyo aanze kwa mwenyekiti wa mtaa, mkuu wa wilaya na mkoa, ikishindikana kwa waziri.
Ila sizani kama mbunge ana jukumu LA kutatua migogoro ya ardhi.
Akina Halima ni wanaume? pambana acha kusubiri viti maalumAcha gender marginalization!
Acha kumbagua mtu kwa jinsia yake au kwa namna yeyote ile ni makosa makubwa!
Ondokana kabisa na maswala ya mfumo dume!
Yani tena nitakuja na mada ya ubaguzi wa kjinsia.
Wanaume ndiyo mlotufikisha hapa, tangu Uhuru viongozi ni wanaume , nyie mnastahili kutupatia maelezo ya kina ya kwa vipi Tumefika hapa tulipo na kwamba tulipaswa kuwa mbali zaidi ya hapa tulipo.
Halafu niambie kwanini magerezani wanaume wako wengi kuliko wanawake? Ukizingatia madai kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume nchini?
Mbona ilipaswa kuwa kinyume chake ?!
Gwajima is greatest!
Akina Halima ni wanaume? pambana acha kusubiri viti maalum
Acha kuishi kwa kusubiri huruma ya wanaume, MUNGU amekupa miguu, akili na mikono. Ingia mzigoni tafuta haswaWakati ukifika nitatangaza nia jimboni !
Kwanza hivyo viti maalum naona vina mlolongo mrefu achilia mbali majungu na fitina zinazofanyika!
Kwa hiyo wakati utakapofika bora kwenda jimboni !
Akina Halima ni wanaume? pambana acha kusubiri viti maalum
Bunju haikuwepo miaka yote ya ubunge wa Mdee? Kama ilikuwepo ujue ni wewe unayesema hivyo wala si watu wa Bunju kwa ujumla waoHuku bunju Mdee hajulikani kabisa. Wengi wanadhani ni Vanessa wa bongo fleva!
Kawe mjiandae kufufuliwa na miskiti kuwa Sunday schools
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Acha kuishi kwa kusubiri huruma ya wanaume, MUNGU amekupa miguu, akili na mikono. Ingia mzigoni tafuta haswa
Wake upHaina shida , tunapambana vizuri tu!
Bwasheee. ....umesahau na umahiri alioonesha kwenye ile "video" yake akiwa "anamsulubu" mmoja wa kondoo wake uwanja wa 6x6!Ni jambo la baraka kuona mtumishi wa Mungu askofu Gwajima ameteuliwa kugombea ubunge kutuwakilisha Wananchi wa Kawe.
Dr Gwajima ana weledi mkubwa katika uongozi wa watu kiroho na kimwili na ubobezi wake ameupatia nchini Korea. Ni mtu mwenye malengo makubwa na naweza kumfananisha na Rais wa sasa wa Malawi.
Askofu Gwajima karibu ulete ukombozi Kawe.
Maendeleo hayana vyama!