Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,559
- 12,324
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amesema mafisadi walioinyonya nchi katika Serikali ya awamu ya nne, ndiyo wanaoona utawala wa Rais Magufuli haufai.
“Wasikukatishe tamaa endelea hivyo hivyo kuna wanyonyaji walipenyeza mirija yao katika serikali iliyopita wakati wao umefika, sasa wanatapatapa.”
Huyu naona amemrudia bwana yesu
“Wasikukatishe tamaa endelea hivyo hivyo kuna wanyonyaji walipenyeza mirija yao katika serikali iliyopita wakati wao umefika, sasa wanatapatapa.”
Huyu naona amemrudia bwana yesu