#COVID19 Askofu Gwajima: Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi

Kitendo cha kuikashifu serikali kila kukicha kwa maamuzi yake maana yake ni kumkashifu kiongozi wake,kwani asiyetaka kuchanjwa ni yeye tu mbona hatusikii hizo kelele kutoka kwa wengine? Ana lake jambo huyo mbwa.
The opposite, ni kwa wanaotaka watu wachanjwe. Kwani ni wao tu? Mbona wengine wanaotaka kuchanjwa wako kimya ila Samia na nyie mnapiga piga kelele?

Mpaka hapo ngoma ni drop. Hata hivyo:
Nyie na Samia na Ndugai wenu endeleeni na "JAMANI NJOONI MCHANJWE KAMPENI" huku nyie viongozi mkiwa - fake wananchi kuwa mmechanjwa...

Na sisi tutafanya ya "JAMANI HAKUNA KUCHANJWA KAMPENI" huku sisi mwenyewe tukiwa "real" kwa maana ya NO FAKING...!!
 
View attachment 1893352

"Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi. Inapofika mahali pa kuilinda Tanzania dhidi ya majanga, simuogopi mtu yeyote, siogopo kitu chochote hatuchanjwi"

Askofu Josephat Gwajima akizungumza kanisani kwake leo.!

My Take
Hii imevuka mipaka. Lakini mambo haya hayatokei bahati mbaya. Samia Suluhu umemuonea sana Mh.Mbowe acha upigwe tu mpaka utie akili.
mi nawaambieni gwajima anatafuta starting point. Yani wakijichanganya eti kwamba wamvue uanachama au ubunge hapo ndipo watakapokua wamevuka mkojo na kukanyaga mavi. Na ndipo starting point ya gwajima itakapoanzia.

Yani kwa kifupi gwajima anawachokonoa ccm ili wakimwaga ugali yeye amwage mboga. Anataka aanzishe upinzani na mashambulizi kama yale alokua akifanya awam ya nne ya Jakaya. Kwahiyo yeye anachotaka ni kutimuliwa ili apate upenyo wa kushambulia na kutapika sumu barabaraaaa.

Yajayo yanafurahisha, tungoje hiyo epsode.
 
Alichofanya samia kama president ni kuruhusu chanjo kwa hiyari ya mtu,ukitaka sikiliza wataalam kachanje,hutak msikilize gwajima usichanje Ili ukifa ukauone ufalme wa milele,the choice is yours..kusuka au kunyoa
Wanaochanja hawatakufa?
 
Changamoto kubwa ya suala hili la Chanjo kwa nchi yetu, ni kuwaacha wale waliokua wapotoshaji na wapiga debe wa Nyungu kuwa wasimamizi wa Chanjo.
Napendekeza Top leaders wa wizara wabadilishwe, wawekwe wataalam ambao hawakuwahi kuipotosha jamii. Michambo na vitisho havitaweza kusaidia katika zoezi hili. Imagine, Kwenye nchi ya watu Mil 60, wiki ya pili baada ya zoezi la Chanjo kuanza, lakin ni watu 200K waliochanjwa. Ni failure kubwa Sana.
Mlioko Serikalini, mshaurini mama.
 
Gwajima anatakiwa kuchukuliwa hatua za kinadhamu A.S.A.P .... Hawa sio wakuvumiliwa wakati huu kabisa . Watu tunapoteza ndugu zetu kila siku yeye anafanya utani aiseee....Mpumbavu mwili mzima .
Mpumbavu ni wewe! Siku zone mlikuwa mnalia uhuru wa habari! Mwacheni aongee!
 
Huyu tapeli Gwajima ngoja amkaange mama hadi akili zimkae sawa. Haya ndio madhara ya kuchanganya dini na siasa. Kura walizoiba mwaka 2020 sasa zimeanza kuwaehua. Na huyu Gwajima atakuwa amekumbwa na PEPO la wizi wa kura.
wee jamaa comments zako uwa zinachekesha sana
 
Mama SSH amechanjwa nimeona clip akidungwa sindano na muuguzi kuminya bomba.
Angalia vizuri lile bomba la sindano, lilikuwa limeshasukumwa mpaka chini, kabla ya kuchomwa.

Shots_2.png

shots_1.png
 
View attachment 1893352

"Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi. Inapofika mahali pa kuilinda Tanzania dhidi ya majanga, simuogopi mtu yeyote, siogopo kitu chochote hatuchanjwi"

Askofu Josephat Gwajima akizungumza kanisani kwake leo.!

My Take
Hii imevuka mipaka. Lakini mambo haya hayatokei bahati mbaya. Samia Suluhu umemuonea sana Mh.Mbowe acha upigwe tu mpaka utie akili.
Wamefake kama anavyofeki miujiza na kuwaibia wapumbavu wengi nchini? Kumbe wamejifunza kwake siyo? Je Gwajiboy atapata nini katika upuuzi wake huu au ni kutafuta kiki kirahisi kumbaff mkubwa?
 
View attachment 1893352

"Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi. Inapofika mahali pa kuilinda Tanzania dhidi ya majanga, simuogopi mtu yeyote, siogopo kitu chochote hatuchanjwi"

Askofu Josephat Gwajima akizungumza kanisani kwake leo.!

My Take
Hii imevuka mipaka. Lakini mambo haya hayatokei bahati mbaya. Samia Suluhu umemuonea sana Mh.Mbowe acha upigwe tu mpaka utie akili.
acha ushamba gwajima siyo askofu bali askopo na pimbi wa kujipachika
 
Back
Top Bottom