Askofu Gwajima aushangaa ubalozi wa Marekani kuzungumzia suala la Mbowe aliyedondoka au kuvamiwa

Ni kweli Mkuu lakini si wote wenye Ngozi nyeusi wako hivyo, wengine angekuchangamkia utadhani mnafahamiana miaka chungu nzima hata ungemuomba picha ya pamoja ungepata.

Ushamba mzigo mkuu asa kwa sisi watu wenye ngozi nyeusi.
 
Ni kweli Mkuu lakini si wote wenye Ngozi nyeusi wako hivyo, wengine angekuchangamkia utadhani mnafahamiana miaka chungu nzima hata ungemuomba picha ya pamoja ungepata.
ila nilichogundua ni kwamba kijana ana LIFE INCLINATION inamtesa sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Mkuu mtu kutoka 2nd pick ya College ya Nba, then akacheza NBA, Then aka drop mpaka huko league ya chini ya Nba then kwenye hyo league pia akapigwa chini unadhani ni kitu kidogo mkuu, lazima uweuke kabisa.
 
Ni total failure hata angeweza kuimaintain performance yake aliyokuwa nayo UCONN angedumu NBA lakini akawa kama muokota mipira na mshika mataulo. Kajaliwa urefu ambao angeutumia vizuri labda 2020 angekuwa ameshatengeneza $200 million au hata Zaidi. Watanzania wengi waliobahatika kumuona walimshauri kwamba aongeze bidii kwenye mazoezi na uchezaji lakini naona hakujali ndiyo hivyo tena kwenye miti hakuna wajenzi hata D League walimuona ni mzigo wakamtema. Angalia yule Mzaire Ibaka anavyojituma au Siakam mcameroun naye anavyojituma au yule mcameroun mwingine wa Philadelphia.

ila nilichogundua ni kwamba kijana ana LIFE INCLINATION inamtesa sana.
 
Ni total failure hata angeweza kuimaintain performance yake aliyokuwa nayo UCONN angedumu NBA lakini akawa kama muokota mipira na mshika mataulo. Kajaliwa urefu ambao angeutumia vizuri labda 2020 angekuwa ameshatengeneza $200 million au hata Zaidi. Watanzania wengi waliobahatika kumuona walimshauri kwamba aongeze bidii kwenye mazoezi na uchezaji lakini naona hakujali ndiyo hivyo tena kwenye miti hakuna wajenzi hata D League walimuona ni mzigo wakamtema. Angalia yule Mzaire Ibaka anavyojituma au Siakam mcameroun naye anavyojituma au yule mcameroun mwingine wa Philadelphia.
Kuna wakati niliwahi kumsikia akihojiwa na chombo fulani cha habari akisema kwamba Basketball haikuwa damuni+mazoezi magumu, Nakumbuka jamaa alvokuwa drafted top nba UCONN ahead of curry. Ila saiv he got manners mzee. One of the biggest FAILURES in life. A Hall of Shamer for sure. Laziness and lack of drive for greatness was the key to his failure Wallah. The Dude was physically gifted with size but no willingness whatsoever aseeeh, Mimi sio Malaika ila huyu ni mfano mzuri zaidi kwa kizazi kilichopo cha basketball kuwaelekeza jinsi ni namna gani mtu anaweza kufeli kabisa katika ndoto zake. One of ridiculous and failure person in his basketball dream. Hakuna chochote cha kujifunza kwa huyu jamaa.
 
Very well said Mkuu. Mapesa yote hayo kabaki anayasikia redioni tu.

The guy has no talent.. Toooooo soft, just height tu ilimbeba, The guy Has nothing to do with "perimeter league". The guy never improved his game as a professional player.
 
Ni total failure hata angeweza kuimaintain performance yake aliyokuwa nayo UCONN angedumu NBA lakini akawa kama muokota mipira na mshika mataulo. Kajaliwa urefu ambao angeutumia vizuri labda 2020 angekuwa ameshatengeneza $200 million au hata Zaidi. Watanzania wengi waliobahatika kumuona walimshauri kwamba aongeze bidii kwenye mazoezi na uchezaji lakini naona hakujali ndiyo hivyo tena kwenye miti hakuna wajenzi hata D League walimuona ni mzigo wakamtema. Angalia yule Mzaire Ibaka anavyojituma au Siakam mcameroun naye anavyojituma au yule mcameroun mwingine wa Philadelphia.
Kimsingi Thabeet was a beast in college hilo hatuna ubishi nalo, but his game didn't transfer well to the NBA. In college he had his way, but the NBA has a way of exposing a players weaknesses and exploiting them mercilessly. Ndugu Thabeet never managed to adjust his game or work on his weaknesses. pia He started too late. He didn't develop enough love for the game to even try or know how to try to get better. Therefore he never had that much potential anyway. What a waste of height.
 
lack of efforts, lack of determination to succeed, lack of ability to learn from others or to mimic their efforts and determination.

The most hilarious thing about him is that he averaged only 2.7 rebounds a game. But the man is 7'3 😝 😝, Kitu cha ajabu ni kwamba, I remember when Thabeet was on the D-League Select Team. When I was watching him, he got ejected and threw a chair into a door leaving the arena, worst bust of all time imo, much worse top 2 picks from foreign countries in the last two decades, I remember the media prediction is that he is the next Dream ila daaaaah.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni total failure hata angeweza kuimaintain performance yake aliyokuwa nayo UCONN angedumu NBA lakini akawa kama muokota mipira na mshika mataulo. Kajaliwa urefu ambao angeutumia vizuri labda 2020 angekuwa ameshatengeneza $200 million au hata Zaidi. Watanzania wengi waliobahatika kumuona walimshauri kwamba aongeze bidii kwenye mazoezi na uchezaji lakini naona hakujali ndiyo hivyo tena kwenye miti hakuna wajenzi hata D League walimuona ni mzigo wakamtema. Angalia yule Mzaire Ibaka anavyojituma au Siakam mcameroun naye anavyojituma au yule mcameroun mwingine wa Philadelphia.
I'm a Uconn fan. He was decent in college but wayy too overrated. Just a tall guy that couldn't shoot. o_Oo_O
 
  • Thanks
Reactions: BAK
First year he was so so, but I love the efforts in his 2nd year and I thought he was ready to take the punishment in NBA but ALAS!

I'm a Uconn fan. He was decent in college but wayy too overrated. Just a tall guy that couldn't shoot. o_Oo_O
 
Akizungumza katika kipindi cha Aridhio kinachorushwa mubashara na TBC, askofu Gwajima amesema balozi wa Marekani nchini hapaswi kuingilia mambo ya ndani ya taifa letu.

Gwajima amesema juzikati balozi wa US amezungumzia swala la Mbowe aliyeanguka au kuvamiwa na kuacha kuzungumzia mambo ya nchi yake ambako askari wamemuua raia mwenye asili ya Afrika kinyama kabisa.

Askofu Gwajima amewataka Watanzania kuwa macho na mabeberu hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi.

Chanzo: TBC Aridhio!
Huyu ni mcheza porn anaehudumu madhabauni tu. Hakuna Askofu hapo Embu acheni kuita wahuni Jina Askofu.
 
First year he was so so, but I love the efforts in his 2nd year and I thought he was ready to take the punishment in NBA but ALAS!
He never looked liked a # 2 pick in college so we should be clowning the so called NBA draft experts and the Grizzlies for overrating him and drafting him. Dogo alilewa sifa akitua bongo totos ,bilicanas kwa sana ,wakati watu wanashinda viwanjani usiku na mchana kujiweka vizuri. Gem za ushindani zikamshinda. Nimekumbuka kitu ki1 kaka, I caught his act on a plane from Amsterdam to Tanzania ilkuwa ni May of 2008. He was going home to Dar Es Salaam while I was getting off at KIA nilikuwa naenda kwetu Uchagani Marangu. UConn coach Calhoun gave him a ball to work on his game in the summer and he and his posse goofed off the entire flight. I thought to myself this guy is not going to make it in the entire NBA. He had no desire. A total waste of height :mad::mad::mad::mad::mad:
 
First year he was so so, but I love the efforts in his 2nd year and I thought he was ready to take the punishment in NBA but ALAS!
Nimemkumbuka pia Anthony Bennett, Just think, Anthony Bennett was in the same draft class as current mvp Giannis and 2 time DPOY Rudy Gobert. Also, other notables include Steven Adams, oladipo and CJ McCollum. That draft class was not weak Aiseeeeeh
 
Back
Top Bottom