#COVID19 Askofu Gwajima ana chuki binafsi dhidi ya Rais Samia, hili la chanjo ni kupitishia tu chuki yake

Mkuu bado sijakuelewa. Kwamba wameona hatua nzuri ya kupandikiza hizo microchip ni kupitia chanjo ya korona na siyo ALU au chanjo ya Mgongo wazi kwa mama wajawazito ambazo hizo dawa zote hospitali zinatolewa kwa wagonjwa bila hata kuwa na wasi wasi. Ebu endelea kutoa elimu mkuu na elimu ikigusa uhalisia itakuwa imeeleweka zaidi kwamba kwanini watumie complex way kutumaliza/kutucontrol wakati kuna simple ways??
Mkuu science ya haya mambo ni complex,ni vigumu sana kama sio scientists nguli kuelewa.Labda niseme hivi in very simple terms,ili C-19 ingredients ziweze ku-trigger the required impact,kulikuwa na lazima ya kutanguliza ingredients zingine zilizoko kwenye compounds zingine kama Chloroquine kwa mfano au medications zingine etc.Nina maana gani,bila sumu zingine zilizotangulia,hii ya C-19 isingefanya kazi.

Naomba pia kwamba muda wa kujenga confidence in so many areas ulihitaji.Si unaona sasa mnaamini kwamba serikali na wazungu hawawezi kutudhuru,kujenga hii confidence ambayo si kweli ilihitaji muda,and hence the delay.
 
Ila tukijaga hapo kwenye kuingizwa microchip ndo nachekaga kufa

Me angekua mume wangu hiyo aibu hata siiwezi aisee
Mambo haya huwa yanaanzaga taratibu na Leo hii babu zetu wa enzi za miaka 1880s wakifufuka wakayaona haya ambayo leo hii tunayafanya kwa kushabikia kila kitu tunacholetewa ni aibu kubwa

Hatua moja ndio mwanzo wa hatua nyingine.

Ukoloni wa kifikra ni ukoloni mbaya sana bora hata ukoloni wa kuichumi unaweza kushindia magimbi na ukaendelea kuishi.

Tunatawaliwa na mataifa ya nje kwa sababu ya ujinga wetu wa kufikiri kwamba sisi si chochote mbele yao na hata vizazi vyetu vitarithi hii tabia ya fikra za kitumwa na imefikia hatua hakuna tena tegemeo baina yetu sio viongozi au wananchi.

Jiulize nchi ya China iliwachanja wananchi wake karibia watu bilioni moja plus ili kufanikiwa kudhibiti korona.

Serikali haina mbinu za kukabiliana na korona kilichobaki ni kuimba wimbo wa chanjo wakati wananchi wengi wakionekana kuzipinga

Watafute mbinu zingine za kukabiliana na korona sio kushabikia chanjo huku hatua za mwanzo za kukabiliana na korona hazizingatiwi

Huko mashukeni, vyuoni, vyombo vya usafiri, viwanja vya michezo,masokoni, sherehe, matamasha, ziara ya viongozi, makongamano n.k yanaendelea Kama kawaida Sasa hii ni serikali au sirikali
 
Siyo Gwajima pekee mwenye chuki binafsi na huyu mama. Kuna watanzania wengi Sana wenye chuki naye (85%)
 
Back
Top Bottom