Askofu Gwajima aidanganya mahakama

10000

Tena uongo wa mtu ambaye waumini wake wanaamini maneno yake halafu leo anakanusha huo ni uhuni ambao ni mbaya sana hakuna tofauti na ibilisi mwenyewe. Tena katika clip anasikika akisema Askofu Mkuu Pengo ni sawa na mtoto anayevaa pampas. Inashangaza leo anakana hayo, kama kiongozi wa dini ilifaa sana awe mkweli kwani ingekuwa ni ushuhuda na mfano bora kwake nabkwa kanisa lake.

Mhuni tu yule!,yeye ni Msaka tonge.
 
Last edited by a moderator:
Awe mkweli mbele ya nani. Sheria haiendi hivyo, lazima ukatae ili kesi iendelee upate muda wa kujieleza/ utetezi. Ukisema ndio kesi inaisha unapangiwa siku ya hukumu.

Kumbuka yeye ni kiongozi wa Kiroho kwa hiyo ni vema kuwa mkweli.
 
Hakuna mwanadamu anayefufua watu bali Yesu Kristo ndiye afanyaye hayo kupitia wewe na mimi kama tukimkiri kuwa Bwana na Mwokozi wetu.

wewee...sio dunia ya sasa hivi...na wewe ushia wahi kufufua mtu (kupitia Yesu)
 
Jamhuri bila shahidi anayethibitisha athari za neno mtoto kwake?

Hivi mtoto ni tusi?

Hapa naona hata shetani anasingiziwa! Shetani ni cha mtoto!

Wewe ungeliambiwa upo km Mtoto anayejisaidia kwenye pampers ungejisikiaje????.
 
Katika uchambuzi wa mageziti asubui ya leo nimesikia gazeti moja likiandika kwamba;

Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Gwajima amekanusha mashtaka aliyoshtakiwa kwayo na JMT kufuatia kumtukana Askofu mkuu wa jimbo kuu katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo.

Uongo aliousema askofu Gwajima ni kukataa mbele ya hakimu kwamba hakumuita askofu Pengo mtoto, mpuuzi. Maneno ambayo yanaweza kusababisha uvunjifu wa amani.

Kukataa kwake kusema ukweli inadhihirishia umma wa Tanzania kwamba Askofu Gwajima ni mtu muongo.

CHANZO:
MWANANCHI


Mtoa mada una wivu binafsi dhidi ya Askofu Gwajima,habari yako inaonyesha which side you are
 
Awe mkweli mbele ya nani. Sheria haiendi hivyo, lazima ukatae ili kesi iendelee upate muda wa kujieleza/ utetezi. Ukisema ndio kesi inaisha unapangiwa siku ya hukumu.

Mtoa mada bila shaka hajui sheria ni bora mnavyomuelimisha,yeye amekana anajua ataibana wapi jamhuri.Angekua mtoa mada kila atakaloulizwa bila shaka angekubali
 
Vizuri kumbe unakubali ni kiongozg mkubwa

Kwa hiyo Nimkupa Kichwa kwa kusema ni kiongozi mkubwa?,Meno 32 nje umeyakenua ukifurahia ukubwa wa Gwajima eeenh!!!,Yah kwangu mimi mtu yeyote anayechunga kundi fulani la Watu kiroho ni Mkubwa,Sasa ni vema kuwa mfano bora kwa kundi unaloliongoza.
 
Mtoa mada bila shaka hajui sheria ni bora mnavyomuelimisha,yeye amekana anajua ataibana wapi jamhuri.Angekua mtoa mada kila atakaloulizwa bila shaka angekubali

Wewe unajua sheria???,aliyekwambia Sheria ni kukataa kila unaloulizwa ni nani???,Kwanini tunatakiwa kuapa kwa kutumia Biblia au Quaran???.Nyambafu sana wewe.
 
Wewe unajua sheria???,aliyekwambia Sheria ni kukataa kila unaloulizwa ni nani???,Kwanini tunatakiwa kuapa kwa kutumia Biblia au Quaran???.Nyambafu sana wewe.

Wewe bila shaka ni product ya division five so kubishana na wewe ni sawa na kuidhalilisha user ID yangu.
 
Mtoa mada una wivu binafsi dhidi ya Askofu Gwajima,habari yako inaonyesha which side you are

Wivu wake ni upi??,au unadhani wote ni wendawazimu km ninyi Kumfuata mtu muongo???,Wanadamu watu wa ajabu sana hivi kwanini hatupendi kuelezwa ukweli???,Tatizo lenu mnataka tumsifie wakati hasitahili.Mbona ile Video yake ipo wazi sana!!!,kwanini mnapindisha ukweli?,wivu wake ni upi,kwamba anataka aanzishe kanisa km la Gwajima?,sidhani,Mkuu ukitaka kuwa Mkristu mzuri ukubali Ukweli wala Usithubutu kupingana na Ukweli,lazima utaangukia pua.
 
huenda tafsiri ya neno mtoto na mpuuzi inamaanisha kitu kingine kwa gwajima na sio hakimu anavyofikiria, atakapoulizwa maana tutamsikia akitoa ufafanuz

Uko sahihi! Anachokana Gwajima ni 'kutukana' lkn atakubali kua alitamka hayo maneno, hapo ndipo upande wa mashtaka utakapo takiwa kuthibitisha kua ni matusi kisheria!
 
Back
Top Bottom