Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

UTAONA WACHAWI NA WAGANGA WA KIENYEJI WANAPINGAA HILIII
#ANGALIENI WANAOPINGA WOTEEE ,,
NI WIVU TU
 
IMG-20200714-WA0049.jpg
 
HIYO IMEISHAAA
KAWE NA GWAJIMAAA # MWAKA HUU MTAELEWAAA KINACHOOENDELEAA
BUNGENII KUNA WAKA MOTOOO
 
Yaani kuna vioja mjini hapa. Mtu anakwambia ni haki ya raia wa Tanzania kugombea nafasi ya kisiasa, na Gwajima ni mtanzania halafu mtu anaibuka anasema "unachanganya dini na siasa" mbona hiyo haipo kwenye katiba.? Mbona katiba haisemi kiongozi wa kiroho haruhusiwi kugombea nafasi ya uongozi.
 
Kinachosumbua wengi Ni Akili TU kuwa NDOGO,Kushindwa kufikili nje ya Box
#kupanua Mawazo yako kutasababisha umuelewa Gwajima alichofanya Ni KITU kizurii sanaaa
 
Huyu atakatwa mapema Sana.Sijui Kama huyu Ni mwanachama wa CCM na ameilipia kadi yake kwa miaka mingapi. Lakini CCM Jimbo la Kawe wanapumulia mashine hivyo lazima wamchague huyu japo hauziki mtaani ila anaafadhali kidogo. Kawe ni ya Mdee
Eti kawe ni ya Mdee,kanyoloke!
 
Back
Top Bottom