Askofu Gamanywa: Nilimuombea hayati Magufuli nina uhakika amepokelewa mbinguni kwa Baba

John Pombe Magufuli Mwenyewe alishafanya mazungumzo na Mungu wake kwa imani yake. Mwacheni apumzike kwa amani kwa Mungu wake aliyemtumikia

Maneno yake ya mwisho yanajieleza

View attachment 1731036
Hili lijamaa lilikuwa likikejeli maaskofy walipotoa tahadhari kuhusu Corona na kusema wamekosa Imani, anajifanya mcha mungu, amepata alichostahili
 
Askofu Gamanywa amesema watu wasitegemee mama Samia kufanana na hayati Magufuli kwa sababu Mungu amemuumba kila mtu na kipawa chake.
Rais Samia atatimiza majukumu yake vizuri sana kulingana na kipaji alichobarikiwa na Mungu, amesema.

Askofu Gamanywa amesema wao walimuombea hayati Magufuli hivyo ana uhakika amepokelewa mbinguni kwa Baba.

Source Shallom tv
HAUWEZI SHINDANA na BINADAMU MWENYE KINYWA/ PINDI AKIJITOA UFAHAMU.. ASIWE na NIDHAMU na HESHIMA/
 
Askofu Gamanywa amesema wao walimuombea hayati Magufuli hivyo ana uhakika amepokelewa mbinguni kwa Baba.
Alimuombea wakati anaumwa au wakati ameshatangazwa kufariki? Hapa nataka nijue msimamo wa walokole kuhusu kumuombea marehemu, maana huwa wanatuponda Wakatoliki halafu wao wanatekeleza hicho hicho
 
Hili lijamaa lilikuwa likikejeli maaskofy walipotoa tahadhari kuhusu Corona na kusema wamekosa Imani, anajifanya mcha mungu, amepata alichostahili
Kifo ni stahiki ya kila kiumbe. Jiulize wewe unaipata lini????
Tena yeye ameugua wewe unaweza kuta usiku wa leo ndio pumzi yako ya mwisho. Mungu hapangiwi wala hatoi notice
 
Askofu Gamanywa amesema watu wasitegemee mama Samia kufanana na hayati Magufuli kwa sababu Mungu amemuumba kila mtu na kipawa chake.
Rais Samia atatimiza majukumu yake vizuri sana kulingana na kipaji alichobarikiwa na Mungu, amesema.

Askofu Gamanywa amesema wao walimuombea hayati Magufuli hivyo ana uhakika amepokelewa mbinguni kwa Baba.

Source Shallom tv
Gamanywa ni opportunist, Period
 
Gwajima ndio wa ufufuo
Gamanywa wa WAPO,

Gamanywa unafeli! toka lini mtu akaombewa kuingia mbinguni hivi mnakuwaje inapofika suala la unafiki

We si unafufuaga wafu wewe sasa?

Hivi huyu si Kanisa lake ni la ufufuo na uzima??? Anasubiri nini mpaka saa hii???

mwili ushafika hapa dodoma,aje amfufue hapa makao makuu!

kanisa la ufufuo na uzima imekuwaje limeshindwa kufanya miracle wa ufufuo?
 
Huyo askofu haileweki hapo.
Ni kama mnafiki fulani hivi anayetafuta umaarufu.

Hivi mbinguni watu wanakwenda kwa kuombewa na maaskofu?

Sasa walimuombea akiwa hai au akiwa amekufa?

Kwanini hawakumuombea wakati akiumwa ili apone na kuendelea kuwatumia watanzania?
Wangemuombeaje wakati tuliambiwa sio mgonjwa
 
Kifo ni stahiki ya kila kiumbe. Jiulize wewe unaipata lini????
Tena yeye ameugua wewe unaweza kuta usiku wa leo ndio pumzi yako ya mwisho. Mungu hapangiwi wala hatoi notice
Ndio ni stahiki ya kila kiumbe ila kifo chake kisichotarajiwa kimetokana na ukaidi wake zaidi
 
Ndio ni stahiki ya kila kiumbe ila kifo chake kisichotarajiwa kimetokana na ukaidi wake zaidi

Kisichotarajiwa na nani? Wacha kujivika cheo cha Mungu wewe
Yeye tuu na yeye pekee ndio mtoaji na mtwaaji wa uhai, sasa huko kusikotarajiwa unaongea kama nani?
 
Hao ni waganga njaa tu na waongo wakubwa tu
Hivi huyu askofu anaelewa maandiko? Mtu anaenda mbinguni kwa kuombewa kweli? Yeye ni nani hadi amuondolee mtu dhambi zake na kuingia mbinguni. Ni huyu Gamanywa ninaye mfahamu kweli, ameanguka wapi huyu mtumishi?
 
Back
Top Bottom