Askofu Gamanywa kuongea na waandishi wa habari kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askofu Gamanywa kuongea na waandishi wa habari kesho

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rwechu, Oct 21, 2010.

 1. R

  Rwechu Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Leo nilikuwa nasikiliza Redio wapo 98.0FM, Gamanywa ametangaza kuongea na waandishi wa habari hapo keso kuhusu mambo ya uchaguzi mkuu, kwa maana ya kuingizwa udini kwenye uchaguzi wa mwaka huu.

  Nimjuavyo Gamanywa ni rafiki sana wa KIKWETE, siku chache kabla ya kampeni kuanza alikuwa mgeni rasmi kanisani kwake mbezi sijui alikuwa anafungua nini, kwenye maelezo yake kikwete alijinadi jinsi alivyowasaidia kwenye mgogoro wa uwanja wa kanisa hilo mpaka wakaumiliki, may be aliwalipia, vilevile Gawanywa ni mteule wa Rais Kikwete kwenye tume ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa UKIMWI.

  Je Askofu huyu anaweza kweli kuongea akiwa huru bila kuegemea CCM ili kulinda kibarua chake na kulipa fadhila kwa kusaidiwa ile ishu ya uwanja? Maana alishaanza kuponda dhana ya baadhi ya Wachungaji wenzake kutangaza kufanya ibada jumamosi ili kupisha siku ya jumapili watu wawe huru kupiga kura.

  Je tutegemee la maana hapo keszho? Karibu mchangie wana jamvi
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,076
  Trophy Points: 280
  Askofu gamanwya anapaswa amuogope Mwenyezi Mungu na kumtamkia JK kweli siyo Chaguo la Mungu
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Mmmh sijui
   
 4. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kibaraka tu hana Jipya Mara mia moja ya kakobe ambaye yeye alisema mapema
   
 5. K

  Kabonde JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 421
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Gamanywa atakuwa kachukua kitu kidogo
   
 6. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2010
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hawezi kupingana na mabadiliko yanayoletwa na Mungu!!!!
  Nguvu ya mabadiliko ni kubwa sana,hakuna wa kuyazuia.
   
 7. u

  urasa JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyu mzee wa misukule
   
 8. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Tusubiri tuone kama nae ni nabii wa uongo kama walivyo wengine
   
 9. k

  kibebii Member

  #9
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Habari nzuri ila una bias ya wazi!

  Ningependa kukumbusha kuwa mapenzi yetu yasitunyime uwezo wa kuona ukweli na tusipende chongo tukaita kengeza.

  Katika hali ya kawaida ni kwa nini uanze kihivyo na kuwaandaa watu kukataa kile atakachokiongea ambacho hata hujakijua! Uchaguzi utakwisha na niwajuavyo watanzania wengi watakinai haraka kama ... wanavokinai haraka wenza wao siku chache baada ya ndoa!

  Narudia, tujitahidi kutazama vitu hasa ambvyo vinaweza kutugawa kama taifa kwa jicho kali zaidi!
   
 10. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Hebu tusubiri tuone anachotaka kuongea" akiwasaliti watanzania tutajua tu. Kuliko aongee jambo tofauti na vuguvugu tunaloliona sasa ni heri anyamaze awahubirie tu waumini wake na siyo watanzania kupitia vyombo vya habari"
   
 11. G

  GAMA LUGENDO Senior Member

  #11
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Gamanywa needs to tread with great care during a news conference, especially as a man of god, we expect him to stick to the truth, and not side with those who are perpetrating evils against innocent people.people are now tired of being cheated.it is time for a liberation of the people and not otherwise.
   
 12. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  sio wote wamwitao bwana! bwana wataingia ufalme wa mbingu
   
 13. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #13
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Gamanywa ni Askofu anaejiheshimu na anaeheshimika . jamii imekua ikimpa hadhi amabayo hata maaskofu wengine wa Kilokole wamekua hawaipati.
  kumtetea Kikwete inahitaji KUWA NA ROHO nGUMU, KUWA tAYARI KUCHAFUKA , MAANA KIKWETE HAKUMBATIWI, HAGUSIKI.
  KAMA anataka kujiweka rehani , kwa hadhi na heshima yake , anapaswakuachana na agenda za kuitetea ccm, ingawa ni marafiki.
   
 14. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #14
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  GAMANYWA
  [​IMG]
   
 15. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hapo tutapata picha kama anakuja kisiasa kama mwanajamii yeyote? ama anakuja kama mzalendo kwa nchi? ama anakuja kama kiongozi wa Dini? ama anakuja yeye kama Gamanywa na askofu....tusubiri tuangalie atakuja na akiwa mevaa kofia gani kati ya hizo
   
 16. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtume Mwingira bado naye? Mwaka huu kuna mengi yatatokea, tena bado wiki ijayo ndo kuna vibwagizo jiandae JF kusherehekea ushindi.
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Lets wait and see till tomorrow comes
   
 18. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ninavo hisi ni mwana ccm,tusubiri tuone asijesema "kaoteshwa jk chaguo la Mungu"
   
 19. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  ataongelea wapi huyo mtu?
   
 20. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2010
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Well said..Kumlinganisha Gamanywa na Kakobe ni sawa na kumlinganisha Kinyonga na Farasi kama ilivyo kwa JK na Slaa.
   
Loading...