Askofu Emaus Mwamakula akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha Maandamano ya kudai Katiba Mpya

Sheria zitakusaidia ikiwa ulizifuata
Ewe Kilaza lini utaacha upumbavu? Uzuri wa sheria ni kuwa kila sheria inafahamika kwa namba yake katika mwaka ilipotungwa. Unazungumzia sheria zipi? Kudai katiba mpya ya watu au kudai tume huru ya uchaguzi ni kutokufuata sheria?

Kilaza sikia na kuelewa upambe ni jambo la hovyo kabisa. Wapambe nuksi. Hawajui wafanyalo. Wenye mali wanajua kabisa sheria zitamtoa. Hawampeleki mahakamani. Watashindwa. Hilo wanalijua sana. Shida i kwako tu we kilaza. Ukiona wamempeleka. Abortion hiyo. Upelelezi hautakamilika milele yote. Au sana sana mtaalamu wa plea bargain ataingiza nolle prosequi!
 
Kwa sheikh watachemka maana yule selo Kwake ni kama nyumbani. Pole baba askofu piga mistari ya ufunuo aote busha yule jamaa wa chato.
Akimaliza tu kusali anaota mshipa yeye mwenyewe chezea wazee wa ziwani weye
 
Bora aliwahi kupost kabla hawajampora simu na kusepa nae. Otherwise angepotea kwa siku kadhaa huku akipokea kipondo heavy huko mafichoni

Hii “terror squad” ya mtu flani ni shida kwelikweli
 
Back
Top Bottom