Askofu Dr. Benson Bagonza: Viongozi wetu na mimba za Wanafunzi

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
26,060
23,940
“Viongozi wengi tulio nao serikalini ni matokeo ya kushindwa,wengine walishindwa shule za msingi ,wengine walifukuzwa huko na ndio hawa wanaosema watoto wetu wakipata mimba basi shule basi, Tumuombe Mungu alete hekima kwa viongozi wetu”-Dr Bagonza

“Hawa viongozi kila kosa walilolifanya mimba tungekuwa na watoto wangapi? Sasa hawa viongozi wanaofanya makosa ndio hao wanaosema watoto wakipata mimba ndio maisha yamekwisha.Tumuombe Mungu alete hekima kwa viongozi hawa” -Askofu Dr. Bagonza
#ArudiShule
 
Always....

Ana highest quality of mind
 
Wanasiasa wengi ni academic failures! Tena wengine wengi wamezaliwa nje ya ndoa. Leo wamesahau kuwa wao no products za out of wedlock sexual affairs. Ni watoto haramu, bustards Mwingereza anaita( though ni derogative connotation) halitakiwi anyway

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure ume'summarize vyema alichokisema askofu Bagonza kwa kificho great mind.
 
Hawa maaskofu wa pande ile ni janga kwa sasa, yaani hata siku upinzani ukidai haki za mashoga utasikia wanasapoti, yaani sijui wamerukwa na akili?, askofu badala ya kuzuia wale wanaosababisha hizo mimba maana ni waumini wao, lakini wao ni kukusanya sadaka maswara ya mimba kwa watoto eti ni sawa, biblia inasema afanyae mapenzi kabla ya ndoa ana zini sasa askofu anataka kuhalalisha hilo kwa vitoto, kweli siku za mwisho tutaona mengi.
 
Akili kama za jiwe hizi

Kuna mahali mimi huwa siwaelewi hawa maaskofu aina ya bagonza.

Nina wasiwasi kwamba iko siku asmofu atakutwa anasalisha akiwa na bastola kwenye mfuko wa suruali ya ndani

Wamewagegeda ma sister hadi wanachanganyikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
“Viongozi wengi tulio nao serikalini ni matokeo ya kushindwa,wengine walishindwa shule za msingi ,wengine walifukuzwa huko na ndio hawa wanaosema watoto wetu wakipata mimba basi shule basi, Tumuombe Mungu alete hekima kwa viongozi wetu”-Dr Bagonza

“Hawa viongozi kila kosa walilolifanya mimba tungekuwa na watoto wangapi? Sasa hawa viongozi wanaofanya makosa ndio hao wanaosema watoto wakipata mimba ndio maisha yamekwisha.Tumuombe Mungu alete hekima kwa viongozi hawa” -Askofu Dr. Bagonza
#ArudiShule
Kweli kabisa viongozi wengi wanafiki sana kujifanya wanachukia mimba za watoto wa kike wakati wao ndio wazinzi wakubwa na wengi ndoa zao ziko mashakani sababu ya michepuko
 
Kuna mahali mimi huwa siwaelewi hawa maaskofu aina ya bagonza.

Nina wasiwasi kwamba iko siku asmofu atakutwa anasalisha akiwa na bastola kwenye mfuko wa suruali ya ndani

Wamewagegeda ma sister hadi wanachanganyikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuelewa. Uelewa wako umeshikiriwa na bashiru. Maaskofu wana refers utume wa Yesu the master. Mayahudi walimleta mwanamke aliyezini kwa Yesu ili awape mwangozo. Yesu aliwaambia asiye na dhambi awe wa kwanza kumrushia jiwe huyo mwanamke. Washitaki wote wakaondoka kimyakimya . Mi CCM inawahukumu watoto waliopata mimba wakati nayo ina midhambi yao kibao ikiwemo uwizi wa Mali ya uma ulosababisha umaskini kwa wasio na direct access ya resources kinachosababisha watoto wao wapate mimba kirahisi wakiwa shule.
 
Tena wanasiasa wanajitahidi sana kuwadunga mimba mabinti wanafunzi na kutumia pesa zao kukwepa mkono wa sheria. Huwashawishi wazazi ili mtoto amsingizie mwalimu wake.

Kuna walimu wa kiume wako jela kwa kesi ambazo hawakuhusika.

Halafu wanajimwambafai majukwaani na ujinga huu.

Askofu hajaruhusu na hataruhusu uzinzi ila binti akipata mimba haikutakiwa kumpiga pini kihivyo
 
Dr Bagonza ni kichwa kingine kabisa, Tumeaminishwa kufikiri kwamba wanasiasa ndio pekee wenye uwezo wa kutatua changamoto za kijamii ila at some point tukifungua akili zetu sawa sawa tutagundua pasi kuacha shaka kwamba wanasiasa hao hao ni waliotengeneza matatizo kwenye jamii
 
Ni mada ndefu watoto walizaliwa nje ya ndoa ni watoto wa zinaa haramu inakuja ktk kupatikana kwao hivyo unaweza kuzaliwa ndani ya ndoa ukawa mtoto haramu
 
Huwezi kuelewa. Uelewa wako umeshikiriwa na bashiru. Maaskofu wana refers utume wa Yesu the master. Mayahudi walimleta mwanamke aliyezini kwa Yesu ili awape mwangozo. Yesu aliwaambia asiye na dhambi awe wa kwanza kumrushia jiwe huyo mwanamke. Washitaki wote wakaondoka kimyakimya . Mi CCM inawahukumu watoto waliopata mimba wakati nayo ina midhambi yao kibao ikiwemo uwizi wa Mali ya uma ulosababisha umaskini kwa wasio na direct access ya resources kinachosababisha watoto wao wapate mimba kirahisi wakiwa shule.
Case closed
 
Askofu ni kichaa, kama mpaka sasa hajaelewa ufafanuzi uliokwisha tolewa na serikali kuhusiana na saga hili
“Viongozi wengi tulio nao serikalini ni matokeo ya kushindwa,wengine walishindwa shule za msingi ,wengine walifukuzwa huko na ndio hawa wanaosema watoto wetu wakipata mimba basi shule basi, Tumuombe Mungu alete hekima kwa viongozi wetu”-Dr Bagonza

“Hawa viongozi kila kosa walilolifanya mimba tungekuwa na watoto wangapi? Sasa hawa viongozi wanaofanya makosa ndio hao wanaosema watoto wakipata mimba ndio maisha yamekwisha.Tumuombe Mungu alete hekima kwa viongozi hawa” -Askofu Dr. Bagonza
#ArudiShule
 
Huyo askofu ana matatizo kichwani sio bure

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Tunaambowa kuwa binadamu ueyote anaumbwa na Mungu. Haijalishi amezaliwa vipi au na nani.
Kwa nini yuanze kumpa adhabu ayezaa?
Tunamjenga asiingie huko lakini akishazaa ni kiumbe cha Mungu na hatuerzi kiipimga kazi yake kwa kumnyima haki aliyezaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom