Askofu Dkt. Mtokambali: " Wito wa maombi maalum ya kitaifa ya siku 21 dhidi ya wimbi la pili la maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19)”.

Elisha Sarikiel

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
889
1,515
Wana jamvi amani kwenu !

Leo nachukua nafasi hii kumpongeza askofu mkuu Dkt. Barnabas W. Mtokamhali wa kanisa la TAG; kwa barua ya kumbukumbu TAG/MNM/GEN/45 ya tarehe 05 Machi 2021; kwenda Maaskofu wote wa Majimbo,Wakurugenzi wote wa Idara na Vitengo, Waangalizi wote wa Sehemu, Wachungaji wote, na Washirika wote wa Tanzania Assemblies of God (TAG) kuhusu “WITO WA MAOMBI MAALUM YA KITAIFA YA SIKU ISHIRINI NA MOJA (21) DHIDI YA WIMBI LA PILI LA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA (COVID-19)”. Hivyo, maombi kwa kanisa la TAG kuanza Jumatatu tarehe 8 Machi mpaka Jumapili tarehe 28 Machi-2021.

Mambo makuu ya kuombea ni kama ifuatavyo:

• Toba kwa ajili ya Kanisa na Taifa.

• Kuomba neema ya uponyaji wa COVID 19 kwa waliopata ugonjwa huu.

• Kuomba maambukizi ya COVID 19 yasienee nchini.

• Kuomba dhidi ya magonjwa mengine kama vile Kisukari, Presha, Moyo, Tezi Dume, Figo, Saratani n.k.

• Kuomba dhidi ya hofu inayowakamata watu wakati huu wa wimbi la COVID 19.

• Kuomba dhidi ya majanga mengine kama vile Nzige, Ukame, Mafuriko, Ajali n.k.

• Kuomba kwa ajili ya ustawi wa Taifa letu na uchumi wake

• Kuombea Viongozi wa Nchi (Rais na Wasaidizi wake, Bunge, Mahakama n.k).

• Kuombea umoja na mshikamano wa Taifa letu wakati huu wa janga na baada ya janga kupita.

• Shukrani.

Mwisho, Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) linatambua kuwa Mungu pekee ndiye kimbilio na nguvu, msaada utakaoonekana tele wakati huu wa janga hili la Corona. Hivyo basi, hatutaogopa ijapobadilika nchi, ijapotetemeka milima moyoni mwa bahari (Zahuri 46:1-2a). Lakini pia, tunaamini juu ya umuhimu wa kujikinga kwa kufuata tahadhari zote na maelekezo yote ya kitaalam yanayotolewa na serikali kupitia Wizara ya Afya (Waefeso 5:15-17).

Tukumbuke kwamba katika lile wimbi la kwanza la janga hili, tulimwomba Mungu akaturehemu na kutupa uponyaji wake. Basi nawaomba kwa nia moja tumwombe Mungu tena katika wimbi hili la pili, kwa bidii yote na kwa kujidhabihu kwa ajili ya taifa letu na Bwana aliye mwaminifu atatusikia.

Askofu mkuu Dkt. Barnabas W. Mtokamhali wa kanisa la TAG; alimalizia waraka maalum kwa kuwatakia baraka za Bwana wanapoendelea kumwamini Mungu asiyeshindwa na kitu juu ya wimbi hili la pili la virusi vya ugonjwa wa korona .
 
Attachments

  • tag 1.jpg
    tag 1.jpg
    227 KB · Views: 7
  • tag 2.jpg
    tag 2.jpg
    171.1 KB · Views: 8
Wana jamvi amani kwenu !
Leo nachukua nafasi hii kumpongeza askofu mkuu Dkt. Barnabas W. Mtokamhali wa kanisa la TAG; kwa barua ya kumbukumbu TAG/MNM/GEN/45 ya tarehe 05 Machi 2021; kwenda Maaskofu wote wa Majimbo,Waku rugenzi wote wa Idara na Vitengo, Waangalizi wote wa Sehemu, Wachungaji wote, naWashirika wote wa Tanzania Assemblies of God (TAG) kuhusu “WITO WA MAOMBI MAALUM YA KITAIFA YA SIKU ISHIRINI NA MOJA (21) DHIDI YA WIMBI LA PILI LA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA (COVID-19)”.

Mambo makuu ya kuombea ni kama ifuatavyo:

• Toba kwa ajili ya Kanisa na Taifa.

• Kuomba neema ya uponyaji wa COVID 19 kwa waliopata ugonjwa huu.

• Kuomba maambukizi ya COVID 19 yasicncc nchini.

Fuateni maelekezo ya WHO zingine hizi ni njaa tu. Waumini wakipungua hakuna sadaka
 
Kama mnakiri wazi Mungu ndo aliyetuvusha kwenye wimbi la kwanza, kwa nini kanisa hikihili lilimpa tuzo mtu mmoja? Au mlimpa ili ampelekee Mungu?
 
Jiulize na kushangaa pia..hawa ni matapeli wa imani ugonjwa unasisitiza marufuku ya mkusanyiko wao wanaita watu wapate maambukizi. Ila kitendo na tukio la kumpa Raisi tunzo ya kufanikiwa kuitokomeza corona ni kitendo cha aibu sana.
 
Kazi KWELI KWELI,ninavoelewa Mimi Mungu Ni wa wote na janga Ni la dunia nzima,huwezi omba Mungu kwa ajili ya taifa moja so KWELI,hayo Ni maombi yenye ubinafsi na Mungu Hana upendeleo. Ingekuwa tumepigwa sie peke yetu sawa. Hapo mtaomba mpaka mpasuke Koo,tusidanganyane.
 
Wana jamvi amani kwenu !

Leo nachukua nafasi hii kumpongeza askofu mkuu Dkt. Barnabas W. Mtokamhali wa kanisa la TAG; kwa barua ya kumbukumbu TAG/MNM/GEN/45 ya tarehe 05 Machi 2021; kwenda Maaskofu wote wa Majimbo,Wakurugenzi wote wa Idara na Vitengo, Waangalizi wote wa Sehemu, Wachungaji wote, na Washirika wote wa Tanzania Assemblies of God (TAG) kuhusu “WITO WA MAOMBI MAALUM YA KITAIFA YA SIKU ISHIRINI NA MOJA (21) DHIDI YA WIMBI LA PILI LA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA (COVID-19)”. Hivyo, maombi kwa kanisa la TAG kuanza Jumatatu tarehe 8 Machi mpaka Jumapili tarehe 28 Machi-2021.

Mambo makuu ya kuombea ni kama ifuatavyo:

• Toba kwa ajili ya Kanisa na Taifa.

• Kuomba neema ya uponyaji wa COVID 19 kwa waliopata ugonjwa huu.

• Kuomba maambukizi ya COVID 19 yasienee nchini.

• Kuomba dhidi ya magonjwa mengine kama vile Kisukari, Presha, Moyo, Tezi Dume, Figo, Saratani n.k.

• Kuomba dhidi ya hofu inayowakamata watu wakati huu wa wimbi la COVID 19.

• Kuomba dhidi ya majanga mengine kama vile Nzige, Ukame, Mafuriko, Ajali n.k.

• Kuomba kwa ajili ya ustawi wa Taifa letu na uchumi wake

• Kuombea Viongozi wa Nchi (Rais na Wasaidizi wake, Bunge, Mahakama n.k).

• Kuombea umoja na mshikamano wa Taifa letu wakati huu wa janga na baada ya janga kupita.

• Shukrani.

Mwisho, Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) linatambua kuwa Mungu pekee ndiye kimbilio na nguvu, msaada utakaoonekana tele wakati huu wa janga hili la Corona. Hivyo basi, hatutaogopa ijapobadilika nchi, ijapotetemeka milima moyoni mwa bahari (Zahuri 46:1-2a). Lakini pia, tunaamini juu ya umuhimu wa kujikinga kwa kufuata tahadhari zote na maelekezo yote ya kitaalam yanayotolewa na serikali kupitia Wizara ya Afya (Waefeso 5:15-17).

Tukumbuke kwamba katika lile wimbi la kwanza la janga hili, tulimwomba Mungu akaturehemu na kutupa uponyaji wake. Basi nawaomba kwa nia moja tumwombe Mungu tena katika wimbi hili la pili, kwa bidii yote na kwa kujidhabihu kwa ajili ya taifa letu na Bwana aliye mwaminifu atatusikia.

Askofu mkuu Dkt. Barnabas W. Mtokamhali wa kanisa la TAG; alimalizia waraka maalum kwa kuwatakia baraka za Bwana wanapoendelea kumwamini Mungu asiyeshindwa na kitu juu ya wimbi hili la pili la virusi vya ugonjwa wa korona .

Watu kama hawa ndiyo wanaorudisha nyuma jitihada za kupambana na ugonjwa huu.
 
Kazi KWELI KWELI,ninavoelewa Mimi Mungu Ni wa wote na janga Ni la dunia nzima,huwezi omba Mungu kwa ajili ya taifa moja so KWELI,hayo Ni maombi yenye ubinafsi na Mungu Hana upendeleo. Ingekuwa tumepigwa sie peke yetu sawa. Hapo mtaomba mpaka mpasuke Koo,tusidanganyane.
Umeona mbali sana.

TAG imeanza siasa, Mungu alirehemu hili kanisa.
 
Jiulize na kushangaa pia..hawa ni matapeli wa imani ugonjwa unasisitiza marufuku ya mkusanyiko wao wanaita watu wapate maambukizi. Ila kitendo na tukio la kumpa Raisi tunzo ya kufanikiwa kuitokomeza corona ni kitendo cha aibu sana.
Hata makanisa mama(makongwe)sana yanaonekana angalau yako na msimamo haya ya kipentekoste yameyumbishwa sana na siasa hayana nuru tena!
 
Mbona 'Ajali' nayo imeuganishwa kwenye majanga ya asili: mafuriko, ukame na nzige?
Ajali nyingi za barabarani zinasababishwa na uzembe, mwendo kasi, ulevi na kutofuata traffic rules;
Kwani hili nalo linahitaji kuombewa?
 
Wana jamvi amani kwenu !

Leo nachukua nafasi hii kumpongeza askofu mkuu Dkt. Barnabas W. Mtokamhali wa kanisa la TAG; kwa barua ya kumbukumbu TAG/MNM/GEN/45 ya tarehe 05 Machi 2021; kwenda Maaskofu wote wa Majimbo,Wakurugenzi wote wa Idara na Vitengo, Waangalizi wote wa Sehemu, Wachungaji wote, na Washirika wote wa Tanzania Assemblies of God (TAG) kuhusu “WITO WA MAOMBI MAALUM YA KITAIFA YA SIKU ISHIRINI NA MOJA (21) DHIDI YA WIMBI LA PILI LA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA (COVID-19)”. Hivyo, maombi kwa kanisa la TAG kuanza Jumatatu tarehe 8 Machi mpaka Jumapili tarehe 28 Machi-2021.

Mambo makuu ya kuombea ni kama ifuatavyo:

• Toba kwa ajili ya Kanisa na Taifa.

• Kuomba neema ya uponyaji wa COVID 19 kwa waliopata ugonjwa huu.

• Kuomba maambukizi ya COVID 19 yasienee nchini.

• Kuomba dhidi ya magonjwa mengine kama vile Kisukari, Presha, Moyo, Tezi Dume, Figo, Saratani n.k.

• Kuomba dhidi ya hofu inayowakamata watu wakati huu wa wimbi la COVID 19.

• Kuomba dhidi ya majanga mengine kama vile Nzige, Ukame, Mafuriko, Ajali n.k.

• Kuomba kwa ajili ya ustawi wa Taifa letu na uchumi wake

• Kuombea Viongozi wa Nchi (Rais na Wasaidizi wake, Bunge, Mahakama n.k).

• Kuombea umoja na mshikamano wa Taifa letu wakati huu wa janga na baada ya janga kupita.

• Shukrani.

Mwisho, Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) linatambua kuwa Mungu pekee ndiye kimbilio na nguvu, msaada utakaoonekana tele wakati huu wa janga hili la Corona. Hivyo basi, hatutaogopa ijapobadilika nchi, ijapotetemeka milima moyoni mwa bahari (Zahuri 46:1-2a). Lakini pia, tunaamini juu ya umuhimu wa kujikinga kwa kufuata tahadhari zote na maelekezo yote ya kitaalam yanayotolewa na serikali kupitia Wizara ya Afya (Waefeso 5:15-17).

Tukumbuke kwamba katika lile wimbi la kwanza la janga hili, tulimwomba Mungu akaturehemu na kutupa uponyaji wake. Basi nawaomba kwa nia moja tumwombe Mungu tena katika wimbi hili la pili, kwa bidii yote na kwa kujidhabihu kwa ajili ya taifa letu na Bwana aliye mwaminifu atatusikia.

Askofu mkuu Dkt. Barnabas W. Mtokamhali wa kanisa la TAG; alimalizia waraka maalum kwa kuwatakia baraka za Bwana wanapoendelea kumwamini Mungu asiyeshindwa na kitu juu ya wimbi hili la pili la virusi vya ugonjwa wa korona .
Idea njema sana kutoka kwa Baba Askofu.
Tatizo maombi kama haya yakitangazwa baadhi ya watumishi wasiokuwa waaminifu nao ndiyo tena wanaona ni nafasi ya kupitishia humo mambo yao. Kuna mtu anaitwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa A na ana kundi lake
 
Kazi KWELI KWELI,ninavoelewa Mimi Mungu Ni wa wote na janga Ni la dunia nzima,huwezi omba Mungu kwa ajili ya taifa moja so KWELI,hayo Ni maombi yenye ubinafsi na Mungu Hana upendeleo. Ingekuwa tumepigwa sie peke yetu sawa. Hapo mtaomba mpaka mpasuke Koo,tusidanganyane.
Ha ha ha!
Tz haijawahi kuwa taifa teule kwamba lipendelewe.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom