Askofu Dkt. Josephat Gwajima, awasili Polisi Kati kuitikia wito wa DC Makonda

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485
Askofu Gwajima baada ya kuongea na Waandishi wa habari ameelekea Polisi kuitikia wito. Kashafika tayari Polisi.

Askofu Dkt. Josephat Gwajima amefika kukutana na Kamishna wa Polisi, Simon Sirro
16640704_1871674993070080_4448587000263937772_n.jpg

Askofu Gwajima alipowasili
e4f08cf9-55bf-4152-8034-1659a8cdc5e6.jpg
eb3b5e29-f13c-48e4-8fea-12d94694f1c0.jpg
Wafuasi wa Gwajima wakiwa wamefurika katika viunga vya Polisi kati
 
Kama mlikuwa hamjui, muipate hii mchana huu, kuwa umri wa Makonda usiwachanganye mkashindwa kujitambua. Yule ni mteule wa rais na ni Mkuu Mkoa, hata kama humpendi ndio imeshakuwa tena, hakuna namna.

Heshimuni mamlaka msimuheshimu Makonda. Heshimuni ukuu wa mkoa mtasalimika. Acheni mbwembwe za kitoto.

Wewe kuwa kiongozi wa kiroho hakukuondoi kwenye ukweli kuwa unahusika na drugs, kuwa Mwenyekiti wa yanga hakukuondoi kuwa drug dealer, mahakama ndio itaku prove innocent.
 
Wote wawili wamesema wanayajua na mmoja kuogopa.

Waende wakajibu maswali, Makonda hakukosea kabisa kuwaita.
 
Back
Top Bottom