Kama waliomtangulia walivyofuata sheria na kutuachia legacy za - reli kung'olewa na kuuzwa kama vyuma chakavu?, Twiga kupakiwa kwenye ndege pale KIA, Kenya, india na South Afrika wakawa ndo kujulikana kwenye uuzaji wa Tanzanite kuliko inakotoka Tanzania.Penye kustahili pongezi tupongeze, lakini haya mazuri yote yanafutwa na utekaji ulioshamiri. Laiti huyu jamaa angefuata sheria za nchi kidogo tu he would have left the legacy of being the best president.
Kweli huyu jamaa aanze kufuata sheria.
Tulikuwa vizuri saana tupoongozwa na wafuata sheria.