Askofu Damian Denis Dallu unajitambua, hongera Askofu Wangu

MJENGA

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
884
848
Jana kwenye misa ya mkesha wa Pasaka Askofu Damian Denis Dallu wa Jimbo Kuu Katoliki Songea, bila lining'unya maneno ameponda maandamano haramu yanayopangwa kufanyika tarehe 26.04.2018. Alisema kuwa yeyote mwenye jambo lake atafute siku yake na siyo tarehe 26.04.2018 na kwamba anayetaka kafara ajitoe yeye mwenyewe!

Kwa msimamo huo nakupongeza sana askofu wangu umeonesha ukomavu wa kiroho na mlezi kweli wa kondoo wako.

Taifa hili linapitia katika kipindi ambacho tunahitaji viongozi kama hawa wa kuwaunganisha wanakondoo kuunga mkono jitihada za Rais wetu Dkt Magufuli ktk kuhuwisha nguvu na jeuri ya Taifa letu.

Jitihada za Magufuli kurejesha rasilimali mikononi mwa wananchi zimeyaudhi majizi na mabeberu hivyo kinachofanywa na vibaraka wao ni kutuhamisha na kulihamisha Taifa kwenye agenda ya msingi ya mapambano hayo.

Askofu wangu washauri na wengine mmsaidie Mheshimiwa Rais!

Hongera sana askofu wangu.
 
Nilidhani Maaskofu hawapaswi kuchanganya dini na siasa
 
Mbona ulivoandika ni tofauti na nilivosikia mkuu? Au umeamua kugeuza maneno?
 
Hawa ndio maaskofu akina Yuda eskarioti, nani alimwambia kama maandamo ni jinai?
 
Back
Top Bottom