morenja
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 4,519
- 1,851
Wala sio .hawa tatizo lao nikujipendekeza tuu kwa watawala Wa kidunia .ukumbuki ataa Kikwete si hawa hawa walisema Kikwete ni mteule Wa Mungu katuletea ,JK alisakamwa sana na kanisa kwa sababu ya Uislamu wake. Hii ndio rangi halisi ya hawa Church Fathers.