Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
"Tangu Agano la Kale, Wafalme na Makuhani walipokutana, ilikuwa faragha. Mfalme alibeba siri nyingi kuhusu taifa. Makuhani kwa asili ni mawakili wa siri za Mungu, na pia hutunza moyoni siri za wafalme.
Hata leo, wakutanapo hawa kwa mashauriano, si busara kufanya "mubashara". Malumbano yanayoendelea ni matokeo ya "mubashara".
Mfalme akutane na Makuhani faragha ili washauriane, waonyane, na kutiana moyo. Mungu ainue nabii ili kurekebisha hili.
Narudia tena, Mungu ainue nabii (siyo nabii ajiinue) ili mfalme na makuhani wasimame katika zamu zao."
Bishop Benson Bagonza (PhD)