Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

by daway who is nyerere? Si mtu kama mim wewe vipi sio kila aliosema yeye ni sheria mengine aliongea kwa interest zake binafsi.na chuki zake za kizanaki hasa kwa mtu aliyeona atamfunika nani asiyemjua huyu dikteta na mroho wa madaraka

Sasa kama hata hujui nyerere ni nani katika siasa za tanzania tutakusaidiaje ndugu yetu..Huyo Ngonyani Lowassa labda akawe rais wa shamba lake sio Tanzania,mnaotumiwa kumpigia debe mnajipotezea muda,lakini kama mnalipwa poa tu maana ameiba nyingi bora kama anazitumia kuwahonga nyie wapendwa wake
 
by daway who is nyerere? Si mtu kama mim wewe vipi sio kila aliosema yeye ni sheria mengine aliongea kwa interest zake binafsi.na chuki zake za kizanaki hasa kwa mtu aliyeona atamfunika nani asiyemjua huyu dikteta na mroho wa madaraka
shame upon yourself, Naona hata wewe utafanya hivo unavotarajia fanya kwa interest zako binafsi, na sio za watz wote.
 
Wanaotaka kufa wajiue wenyewe wasiombe tuwauwe maana lowasa hatakuwa rais na sisi si wauwaji!
 
Lowasa asipokuwa Rais 2015 mniue - Askofu (Gazeti la Nyakati,10th Julai). Ngoma imeanza!

Naona hapa kuna shida imejitokeza ya kukosa "topics" za kujadili. Hili la urais wa 2015 linakujaje wakati huu??? mbona kuna mambo mengi ya muhimu kuyajadili kama safari ya vasco da gama huko majuu, uchaguzi wa igunga, na mengineyo?? Siku hizi kuna makanisa yanayoota kama uyoga na watu kujitangazia uaskofu. Dini imekuwa biashara kila mtu anajitangazia tu kuanzisha kanisa kiholela. Kwa hiyo maaskofu "fake" ni wengi na ndiyo maana unakuta mtu anajiita askofu halafu anaropoka tu mambo ya hovyo hovyo kama huyo unayemzungumzia anayempigia debe lowassa. Sasa anataka kama lowassa akikosa urais tumuue, sasa je kama yeye mwenyewe atakuwa ameshakufa tutamuua nani?
 
Naomba niungane rasmi na huyu pastor
asipokuwa rais mi ntakula amavi sikunzima ya uchaguzi
 
hao hao ndo wauza madawa ya kulevya sasa wamerudi kwenye kupiga ramli, kwani hawajui kazi yao ya kulichunga kundi la Bwana.
 
kama hajui kusoma huyo lowassa, aangalie hata picha bac, yani dalili zote zinaelekea ccm kwenda kumsimamisha Magufuli, huyo askofu anajitafutia balaa la bure.
 
Lowasa asipokuwa Rais 2015 mniue - Askofu (Gazeti la Nyakati,10th Julai). Ngoma imeanza!
hahaha najua mmetishika na title ya ASKOFU, unless tungetajiwa hapa ni askofu gani, huenda ni askofu ya kama Remmy alivyokuwa akiitwa Doctor!
 
nilishawahi kupost uzi fulani humu ndani juu ya huyu Mhe. EL.........na baadhi ya WaTZ na watu wa Dunia ya tatu wanafikra ya kuwa tupo bado kwenye mfumo wa DEMOKRASIA................hakika wanajidanganya Kuna Nchi katika Dunia hii wanatumia pesa nyingi for so called Regime change............Hamna Uwezo wa kumzuia EL kuwa Rais wa 2015.......CCM and CDM havitakuwepo wakati huo.......itakuwa kama 'JUZI' (KENYA)......Labda hii habari iwe kweli


Is Nibiru Approaching?
 
Back
Top Bottom