gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,892
- 5,946
Nakuelewa mkuu. Lakini huyu bwana bado kwenye utendaji napo ni majanga haswa.
1. Rais kwa nafasi yake si mtendaji wa moja kwa moja,ndio maana kuna wataalam kwenye maeneo mbalimbali ili watende kwa kuzingatia ueledi. Sasa yeye anapotaka kuwa mtaalam wa kila eneo hilo ni tatizo kubwa sana ndio maana analazimisha vitu vya ajabu, mfano mzuri ni juzi kwa boss wa TBA.
2. Anafanya mambo kwa sifa na mihemko, mfano akiwa ziarani Kusini alimtumbua Kamanda wa Takukuru kisa tu hayupo kwny mkutano wake.
Sasa unajiuliza mtu wa level ya PhD anakosaje maarifa kwenye vitu vidogo namna hii ambavyo havihitaji hata tochi kuona?

Sipingani nawa mkuu ila ukweli ni kwamba Phd ya jiwe inaonekana kiasi kwenye utendaji, ila linapokuja suala la matamko yake yaani ni borea angekaa tu numbani wakatu mwingine kuificha aibu yake binafsi au anayo wasababishia wengine kwa kutokua na simile kwa baadhi ya mambo. Hua anaropoka sana hadi inaharibu ile level aliyonayo.