Askofu Bagonza: Wakimaliza ya kwenye simu, watahamia Hospitali, Mikopo yetu. Toba zetu na vitubio havitakuwa siri tena

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
752
3,096
Ameandika Asikofu Dr Kalikawe Lwakalinda Bagonza PHD

TUAZIME TENA HEKIMA YA WANYAMBO

"Nyani asiyekomaa bado (mchanga), huangua kicheko aonapo msitu ukiteketea". Kwa uchanga wake huwa hajiulizi usiku atalala wapi?

"Mtoto mtundu aliyezoea kutukana watu wazima, huwa haishii kwa mmoja".

Tumesikia mengi ya sirini. Hatukupaswa kuyasikia. Nini kinafuata?

1. Wakimaliza ya kwenye simu, watahamia hospitali. Majipu yetu, damu zetu, mikojo yetu, mate yetu, na vinyesi vitaanikwa!

2. Mikopo yetu na bill za baa zisizolipwa zitajukikana. Usisahau mkopo wa nyama wa mwaka jana wakati sasa unakula kisamvu!

3. Toba zetu na vitubio havitakuwa siri tena maana vitaanikwa. Bajameni, acheni kuwasumbua kwa simu watubishaji wenu. Hawana uhakika tena wa kutunza mambo yenu.

4. Kama wana siri hizo, hata "password" za ATM hazina haja tena. Akiba zetu ni akiba zao. Kukwapua mikoba hakufai tena, watu wanachukua wanachopenda kwa kuwa wanamiliki siri zetu.

Bi Kidude hata kama hakuwa Mnyambo, aliwahi kusema "Kunambia siri kisha ukasema nisimwambie mtu, mie siwezi kwa sababu hata wewe umeshindwa kutunza ukaniambia mimi".

Tumejiruhusu kuona "uchi wa mama zetu", acha tupatwe na upofu!!
 
if men of wisdom and knowledge, of moderation and temperance, of patience, fortitude and perseverance, of sobriety and true re simplicity of manners, of zeal for the honor of the Supreme Being and the welfare of the people; if men possessed of these other excellent qualities are chosen to fill the seats of government, we may expect that our affairs will rest on a solid and permanent foundation

And that is what our lord wants !

Go go go bagonza !
 
Wazami wa uziwani wa mawimbi na miuya ,mzamao zizimbwini waliko mahodari wako wea nauza changu kimiya kichatia cha shikani? Utu dafrau ni muda tuerevuke tuzifembe kama fumbo
 
Mzee Mwinyi angechelewa kutoa maelezo yake leo usiku huu kina Steve Nyerere wangeingia Maabara kesho asubuhi tungesikia kuna Clip Mzee Mwinyi alikuwa anaongea na Mwanae Hussein Mara akatokea Mzee kinana kabla maongezi hayajaisha akatokea Mzee Makamba na wakati wanaaga kabla simu haijakatwa akatokea Nape na January wakawa wanamcheka huku Mzee Mwinyi akisema Mluga luga yule
 
Ameandika Asikofu Dr Kalikawe Lwakalinda Bagonza PHD

TUAZIME TENA HEKIMA YA WANYAMBO

"Nyani asiyekomaa bado (mchanga), huangua kicheko aonapo msitu ukiteketea". Kwa uchanga wake huwa hajiulizi usiku atalala wapi?

"Mtoto mtundu aliyezoea kutukana watu wazima, huwa haishii kwa mmoja".

Tumesikia mengi ya sirini. Hatukupaswa kuyasikia. Nini kinafuata?

1. Wakimaliza ya kwenye simu, watahamia hospitali. Majipu yetu, damu zetu, mikojo yetu, mate yetu, na vinyesi vitaanikwa!

2. Mikopo yetu na bill za baa zisizolipwa zitajukikana. Usisahau mkopo wa nyama wa mwaka jana wakati sasa unakula kisamvu!

3. Toba zetu na vitubio havitakuwa siri tena maana vitaanikwa. Bajameni, acheni kuwasumbua kwa simu watubishaji wenu. Hawana uhakika tena wa kutunza mambo yenu.

4. Kama wana siri hizo, hata "password" za ATM hazina haja tena. Akiba zetu ni akiba zao. Kukwapua mikoba hakufai tena, watu wanachukua wanachopenda kwa kuwa wanamiliki siri zetu.

Bi Kidude hata kama hakuwa Mnyambo, aliwahi kusema "Kunambia siri kisha ukasema nisimwambie mtu, mie siwezi kwa sababu hata wewe umeshindwa kutunza ukaniambia mimi".

Tumejiruhusu kuona "uchi wa mama zetu", acha tupatwe na upofu!!
Vua joho ujiunge na siasa baba askofu!
Kama unaona ni sahihi kiongozi wa nchi kutukanwa, maandiko unayohubiri kanisani unatufundisha tutii mamlaka!
Wewe endelea na mahubri, acha serikali ifanye yake, kama huna makandokando hofu ya nini?
 
Siri gani hiyo ya kwenye simu?? Kama wewe unatukana hiyo ni dhambi...akemewe anayetumia simu kutukana na kusengenya...it is simple ...uwe padri au askofu huwezi kutetea dhambi
 
Vua joho ujiunge na siasa baba askofu!
Kama unaona ni sahihi kiongozi wa nchi kutukanwa, maandiko unayohubiri kanisani unatufundisha tutii mamlaka!
Wewe endelea na mahubri, acha serikali ifanye yake, kama huna makandokando hofu ya nini?

mahubiri ni yapi!?
 
Huyu askofu naona ana hamu na siasa, si aachie ya mungu aje kwenye dimba aone kama ataheshimika? Watu wamemtukana raisi muda gani lakini hakuwahi kuwaandikia vimaneno vyake, anakaa kinya.
Lakini yakitokea upande anaopenda anatoa vimafumbo, sasa balance yake ipo wapi kama mtumishi?
 
Mzee Mwinyi angechelewa kutoa maelezo yake leo usiku huu kina Steve Nyerere wangeingia Maabara kesho asubuhi tungesikia kuna Clip Mzee Mwinyi alikuwa anaongea na Mwanae Hussein Mara akatokea Mzee kinana kabla maongezi hayajaisha akatokea Mzee Makamba na wakati wanaaga kabla simu haijakatwa akatokea Nape na January wakawa wanamcheka huku Mzee Mwinyi akisema Mluga luga yule teh teh kweh kweh.... mkuu umemsahau mwingine babu ayubu
 
Mzee Mwinyi angechelewa kutoa maelezo yake leo usiku huu kina Steve Nyerere wangeingia Maabara kesho asubuhi tungesikia kuna Clip Mzee Mwinyi alikuwa anaongea na Mwanae Hussein Mara akatokea Mzee kinana kabla maongezi hayajaisha akatokea Mzee Makamba na wakati wanaaga kabla simu haijakatwa akatokea Nape na January wakawa wanamcheka huku Mzee Mwinyi akisema Mluga luga yule
mkuu umemsahau mwingine babu ayubu
 
Back
Top Bottom