Askofu Bagonza: Usimpe adhabu wala amri mtu ambaye endapo atasema HAPANA, huna cha kumfanya

SOMO LA UTAWALA: MWAKA WA KWANZA

Kanuni za Utoaji Adhabu

1. Usitoe adhabu usiyoweza kuisimamia mpaka mwisho;

2. Usimpe adhabu wala amri mtu ambaye endapo atasema HAPANA, huna cha kumfanya.

Mkimaliza kuandika insha, kusanyeni madaftari, nitasahihisha baada ya Pasaka. Atakayegoma kufanya, sina la kumfanya.

PASAKA NJEMA

Doh! Imebidi nicheke,Baba Askofu umenifanya nifikirie mara mbili nilitaka kutoa adhabu kwa mtu kama huyo ambae akisema hapana ningebaki ! Ngoja niwe mpole tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SOMO LA UTAWALA: MWAKA WA KWANZA

Kanuni za Utoaji Adhabu

1. Usitoe adhabu usiyoweza kuisimamia mpaka mwisho;

2. Usimpe adhabu wala amri mtu ambaye endapo atasema HAPANA, huna cha kumfanya.

Mkimaliza kuandika insha, kusanyeni madaftari, nitasahihisha baada ya Pasaka. Atakayegoma kufanya, sina la kumfanya.

PASAKA NJEMA
Nampenda Baba Askofu

Askofu huyu ni ntu makini sana
 
La kumfanya wanalo, TL alipowashinda katika nyanja zote za kisheria walikuja na utaratibu wa watu Wasiojulikana.

Hata CAG ni mtu wa kuombewa na kuwekwa mbele za Mungu. Kikao cha Wabunge fulani na M/kiti wao kikimwacha salama lazima DAB aingie kazini Katekeleza majukumu.
Lolote likitokea kwa professor tutajua wasiojulikana kazini,Serekali inayoongoza wananchi wanyonge ila yenyewe si dhaifu.Tukubali kuitwa wanyonge,mabeberu nk. Maana wenzetu si wananchi.Wajitambulishe tu wao ninani katika nchi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BABA ASKOFU BAGONZA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU UMENITAMANISHA KUWA NA PhD LAKINI MIMI MASOMO YANGU SIYO HAYA YA KUJENGA HEKIMA,
TUNAO MAPROF. KAZI YAO NI KUSHUSHA UPUPU NA KUTUMBUA MACHO UTAFIKIRI KAGONGWA KONZI NA EXCAVATOR NAOMBA BABA ASKOFU UNIJUZE HATA KITABU CHA KUSOMA ILI NIWE NA HEKIMA KAMA WEWE ANGALAU 1/50, KUMBE HIZI ELIMU ZINATOFAUTIANA SANA,
MUNGU AKUONGEZEE MALAIKA WA ULINZI HEKIMA ZAKO NI MUHIMU KATIKA HILI TAIFA, BABA ASKOFU NATUMAI UNA VITABU ULIVYOANDIKA NIJUZE NAMNA YA KUVIPATA.
SI KWAMBA BABA ASKOFU HUKO LUMUMBA HAKUNA MAPROFU TUNAWAJUA WAPO NA NI WENGI TATIZO AKILI ZA KUTUMIA UNAZIKUTA HUKO NA ZILE ZAKO UNAZITUMIA UKIFIKA NYUMBA NI LAKINI UKIWA OFISINI UNAPEWA DEBE LA AKILI UTALIKUTA HUKO NA NDO MAANA UTAKUTA JITU LIMESOMA LAKINI LINAZIDIWA NA GRADUATE KUTOKA MILEMBE
 
Back
Top Bottom