Askofu Bagonza: Usimpe adhabu wala amri mtu ambaye endapo atasema HAPANA, huna cha kumfanya


figganigga

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Messages
16,404
Points
2,000
figganigga

figganigga

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2010
16,404 2,000
SOMO LA UTAWALA: MWAKA WA KWANZA

Kanuni za Utoaji Adhabu

1. Usitoe adhabu usiyoweza kuisimamia mpaka mwisho;

2. Usimpe adhabu wala amri mtu ambaye endapo atasema HAPANA, huna cha kumfanya.

Mkimaliza kuandika insha, kusanyeni madaftari, nitasahihisha baada ya Pasaka. Atakayegoma kufanya, sina la kumfanya.

PASAKA NJEMA
 
Mystery

Mystery

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Messages
11,397
Points
2,000
Mystery

Mystery

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2012
11,397 2,000
Mbona hilo somo la limenitoa kapa??
 
J

jnhiggins

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Messages
1,419
Points
2,000
J

jnhiggins

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2014
1,419 2,000
Nimeipenda hii sana tu
 
M

mysterio

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Messages
2,260
Points
2,000
M

mysterio

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2011
2,260 2,000
Vichwa vya tulio wengi hatuna uwezo wa kufumbua mafumbo yako pamoja na kwamba tuna Phd kama wewe
 
T

Trillion

Member
Joined
Apr 24, 2018
Messages
99
Points
150
T

Trillion

Member
Joined Apr 24, 2018
99 150
Mungu akubariki sana baba askofu. Shetani atashindwa tu muache ajipe "umungu mtu" nakujiona kiongozi wamalaika.
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
23,929
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
23,929 2,000
Ni kweli...

Amesema hapana, na hakuna aliyemfanya kitu...

Ametoa adhabu na ameshindwa kuisimamia mpaka mwisho...

Watu washakusanya madaftari hana la kufanya inamlazimu asahihishe tuu, huku akinungunika kwamba kiranja mkuu kachukia sana...Cc: mahondaw
 
Mapambano Yetu

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Messages
1,069
Points
2,000
Mapambano Yetu

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2012
1,069 2,000
La kumfanya wanalo, TL alipowashinda katika nyanja zote za kisheria walikuja na utaratibu wa watu Wasiojulikana.

Hata CAG ni mtu wa kuombewa na kuwekwa mbele za Mungu. Kikao cha Wabunge fulani na M/kiti wao kikimwacha salama lazima DAB aingie kazini Katekeleza majukumu.
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,754
Points
2,000
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,754 2,000
La kumfanya wanalo, TL alipowashinda katika nyanja zote za kisheria walikuja na utaratibu wa watu Wasiojulikana.

Hata CAG ni mtu wa kuombewa na kuwekwa mbele za Mungu. Kikao cha Wabunge fulani na M/kiti wao kikimwacha salama lazima DAB aingie kazini Katekeleza majukumu.
Lizaboni
 
MIXOLOGIST

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Messages
3,578
Points
2,000
MIXOLOGIST

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2016
3,578 2,000
Huyo baba Askofu bado hajapewa u-Professor?
 

Forum statistics

Threads 1,285,033
Members 494,367
Posts 30,847,817
Top