Umeona ee!!Monitor ghafla anaanza kujiona ni sehemu ya ma staff wa shule
Umeona ee!!Monitor ghafla anaanza kujiona ni sehemu ya ma staff wa shule
Mjuaji mmoja anayemzidi Askofu ni mwanasiasa aliyechaguliwa.Muulize yeye mwenyewe Askofu Bagonza baada ya yeye kuchaguliwa kuwa Askofu Kuna mtu mjuaji zaidi yake kule? Tusiende mbali muulize na yeye kasoma nje ya nchi vipi kwa Hilo atutajie Nani mjuaji zaidi yake hapo kwake ambako yeye ni Askofu ?kabla kukubaliana naye kuwa elimu ya Tanzania mbovu
Atutajie mjuaji mmoja tu anayemzidi
Huyu askofu atunukiwe uprofesa, ana akili Sana.
Eti hata Babu Tale asiyejua kusoma na kuandika baada ya kuwa mbunge amejigeuza kuwa mhandisi wa kujenga daraja la miti
Wahenga walisema, "a fool and his money are soon parted!"
Si ajabu nchi iliyojaaliwa maziwa na asali hivi leo ni nchi masikini.
Je kuna haja ya kujiuliza tumefikaje huko kama Watanzania?
Adui wa taifa hili ni moja tu...aliyehatamia madaraka toka uhuru!
A fool and his money are soon parted.
CCM kupewa ulinzi wa taifa hili ni sawa na fisi kupewa ulinzi wa duka la nyama!
Halafu tunajiuliza nani kala nyama huku CCM ina damu mdomoni.
Kilaza anapewa madaraka leo, kesho anajua kila kitu!
Halafu sifa zaanza kumiminika, mkombozi kapatikana...kweli!
Baba askofu Mungu atakulinda Tu maana unasema kweli inayoweka watu huru.Wahenga walisema, "a fool and his money are soon parted!"