Askofu Bagonza: Maajabu nchi maskini serikali inafokea wananchi, ila kwa nchi tajiri wananchi wanafokea serikali. Uchumi wa kati wanafokeana sie bado

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,873
Anaandika baba Askofu Dr.Benson Bagonza (PhD), mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe
_____________________
Tofauti kati ya nchi maskini na tajiri haipo katika GDP tu. Tofauti iliyo kubwa na ya msingi ni kwamba katika nchi tajiri, wananchi wanaifokea serikali, lakini katika nchi maskini, serikali inawafokea wananchi. Tukifika uchumi wa kati tutafokeana, (tukifika uchumi wa juu tutaifokea serikali).!
 
Maono mazito haya
 
Mwambie pia atuambie hicho alichoandika amekitoa kwenye kitabu kipi cha bibilia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom