Askofu Bagonza(KKKT): Hivi viongozi wa dini wana mipaka kusema juu ya mienendo ya nchi? Hiyo mipaka imeanza lini?

Sisi waislamu jamani tuna bahati mbaya,,
hii miviongozi yetu imebakia unafiki tu,, lkn yote sababu haina elimu ya dunia,,, walichokijua wao kufuga midevu ,,,aisee inakera,,aswa Hawa bakwata,,, bora sheikh ponda ndo angekuwa mkuu wa waislamu
Mimi sio mwisilamu! Ila acha tu mashekhe wakae kimya! Yale maneno ya kakobe yangesemwa na mtu kama Shekhe Ponda sa hizi angeshapimwa mkojo! Kifupi angeonekana gaidi
 
Viongozi wa dini waache kabisa kuongelea mambo ya serikali na viongozi wa kisiasa. Kwa ufupi anayesifia na anayepinga wote sawa tu wanachanganya dini na siasa.
 
Huu ni uchizi! Hii nchi ina watu vilaza sana

Yaani ndo maana hawasikii vizuri kuwa rais wetu anapendwa 100%?? Aksante kwa kuwapa za uso hizo. Ati hao wanaompenda unawaita machizi kweli!!!! Basi wapo wengi sana
 
..naumia tu pale kiongozi Mkuu wa roman tz anapokuwa mnafiki kuliko wenzake...Na sitoshangaa kuona akikemea wenzake...kwa shinikizo toka kwa mwovu anaemelea....
 
Hawa Viongozi wa dini mie mwenzenu wananipa raha sana kwa jinsi wanavyomkabili Magufuli. Namuomba Mwenyezi Mungu awape ujasiri na sauti yenye nguvu ili waweze kumkabili huyu uchwara bila woga.

Hana hati miliki ya Nchi yetu. Tanzania ni yetu sote anapovurunda na kuipeleka nchi siko ni lazima tumwambie kweli tena hadharani na bila woga.

Kama hataki tumkosoe abwage manyanga arudi kwao Chato akafuge ng’ombe lakini hatuwezi kukaa kimya huku tukiona anaivuruga nchi yetu na kuipeleka kule ambako hatutaki ielekee.

Tumeyaona ya Rwanda, Burundi na nchi nyingine za kiafrika. Hatutaki hayo tuliyoyaona katika nchi hizo yatokee nchini mwetu.

Na pale unapoanza kubishana na viongozi wa dini ujue kabisa mwisho wako umefika. Sozinje ajue si dhehebu moja, ni viongozi wa madhehebu mbalimbali sasa wanamweleza ukweli mchana peupeee. Mwache apinge aangamie. Mungu si shemeji yake au Bashite wa Dar.
 
Hawa Viongozi wa dini mie mwenzenu wananipa raha sana kwa jinsi wanavyomkabili Magufuli. Namuomba Mwenyezi Mungu awape ujasiri na sauti yenye nguvu ili waweze kumkabili huyu uchwara bila woga.

Hana hati miliki ya Nchi yetu. Tanzania ni yetu sote anapovurunda na kuipeleka nchi siko ni lazima tumwambie kweli tena hadharani na bila woga.

Kama hataki tumkosoe abwage manyanga arudi kwao Chato akafuge ng’ombe lakini hatuwezi kukaa kimya huku tukiona anaivuruga nchi yetu na kuipeleka kule ambako hatutaki ielekee.

Tumeyaona ya Rwanda, Burundi na nchi nyingine za kiafrika. Hatutaki hayo tuliyoyaona katika nchi hizo yatokee nchini mwetu.
Sure mkuu....haiwezekani mbwa mmoja mshamba anaharibu nchi hii kubwa alafu wenye akili zao wakae kimya kisa tu LISSU kataka kuawa na ccm...
HAIWEZEKANI KAMWE
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yaani mtoa rushwa hadharani una mpromoti kuwa Mkuu wa Mkoa huku ukizuia promotions za wanataaluma wenye PhD zao na wengine wanao stahili kupanda madaraja!! Unategemea watenda haki kina mababa wa kiroho wasipaze sauti kukukemea? Wewe nani? Nchi yako?
 
Anatupeleka wp labda tuambie? Kuziba mirija ya ulaji na ufisadi na kufanya shughuli za maendeleo au ni kitu gani? Unaongea as if nchi imesimama hakuna chochote kinachofanyika. Halafu tujiulize kwanni ni upande mmoja wa dini tu ndo unamshambulia magufuli ina maana wengine hawana maoni? au dini yao pekee ndo yenye mamlaka na nchi hii, hapa kuna ajenda fulani siyo bure. Kuna vyama fulani siasa za majukwaani zimewashinda wameamua kutumia mlango wa dini.

Halafu Ukiona mtu analalama ujue kuna sehemu kaminywa. Huko kwenye dini kuna Uchafu wa ajabu sana. Ssa jamaa kaamua kuwapiga kimya kimya ndo hawa unaona wanatoka hadharani kulalama.
Kwenye kupiga risasi ovyo watu kutekwa ovyo has a wale wanaomkosoa kwa ukweli.kupindisha demokrasia kupandikiza akina lipumba kutumia pesa za uma kununua madiwani ili ionekane anapendwa kumbeba kilaza bashite huku wengine akiwaondoa kazini nakadhalika ivo watumishi Wa Mungu wameamua kumpa ukweli za uso
 
Pia uwakumbushe siasa na dini ni kama mafuta na maji kamwe havichanganyikani. Hao wanaitwa viongozi wa kiroho. Washughulike na roho za watu huo ndio utumishi wao na ndio kazi ya madhabahu.
 
Pia uwakumbushe siasa na dini ni kama mafuta na maji kamwe havichanganyikani. Hao wanaitwa viongozi wa kiroho. Washughulike na roho za watu huo ndio utumishi wao na ndio kazi ya madhabahu.
Sawa sawa
 
Back
Top Bottom