Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,352
- 9,809
Ila ukiona kiongozi wa siasa Kama Magufuli kila jumapili amesima madhabahuni anaongelea siasa unafarijika sanaNikisikia kiongozi wa dini anajihusisha na masuala ya siasa huwa nakwazika sana.
Sana sana nafarijika napoona anahimiza waamini wajikite katika kufuata misingi yote pasipo kuvunja sheria za nchi.