Askofu Bagonza: Jakaya Kikwete hana ushawishi wowote kwenye Awamu ya Sita

Akijenga visima, shule au hospitali je?

Askofu Bagonza: Msajili wa vyama Jaji Mutungi sio mtu sahihi kuandaa kikao cha wadau wa siasa Tanzania

Ila akionya?

Hiyo ni hadithi iliyopitwa na wakati, asema Bagonza.
Kwani si anajengea waumini wake .Hizo hospital na shule kwani ni bure? Si biashara zake mwenyewe anaingiza pesa .Kajigeuza mfanyabiashara wakati Yesu hakufanya biashara huko nako anakuwa kachemka sio kazi ya Askofu kufanya biashara labda kuweko kitengo tofauti kabisa na yeye Cha biashara .Askofu kazi yake ni kuhubiri Injili sio kuendesha biashara

Askofu hatakiwi kuwa mwanasiasa Wala mfanyabiashara Wala mchimba visima hayo aachie waumini
 
Nikisikia kiongozi wa dini anajihusisha na masuala ya siasa huwa nakwazika sana.

Sana sana nafarijika napoona anahimiza waamini wajikite katika kufuata misingi yote pasipo kuvunja sheria za nchi.
Satan/shetani tangu lini ulikubaliana na wacha Mungu?
Hao si ndio wanakukemea kila siku " shetani tokaaa?"
 
Kwani si anajengea waumini wake .Hizo hospital na shule kwani ni bure? Si biashara zake mwenyewe anaingiza pesa .Kajigeuza mfanyabiashara wakati Yesu hakufanya biashara huko nako anakuwa kachemka sio kazi ya Askofu kufanya biashara labda kuweko kitengo tofauti kabisa na yeye Cha biashara .Askofu kazi yake ni kuhubiri Injili sio kuendesha biashara

Askofu hatakiwi kuwa mwanasiasa Wala mfanyabiashara Wala mchimba visima hayo aachie waumini

Visima, shule na mahospitali anajenga ni ya kanisa kwa maslahi ya jamii. Hakuna biashara hapo.

Anapoonya kuhusu watawala dhwalimu anafanya hayo kwa maslahi ya waumini wake na taifa kwa ujumla.

Kama CCM siyo adui -- mchawi wetu ni nani?

Maonyo yake yamesaidia sana kuwajua wachawi wetu ambao mmoja wao ni wewe.

Terms zako za reference hatimaye sasa tunazijua.

Kumbe wewe wala siyo CCM bali Yahaya wa Kinondoni, nyumba maskani wala havijulikani.
 
Swali fikirishi hivi Katiba ya Tanzania inasemaje kuhusu awamu za viongozi wakuu wa nchi hivi wote hatuna akili timamu kuweza kutambua maana ya awamu za viongozi wa kuu wa nchi ya Tanzania Nadhani awamu hutokana na uchaguzi mkuu sasabasi iwe hivi:Ya awamu ya 4, ilihakikisha umoja wa kitaifa unakua
awamu ya 5, ya Rais wa 6 vyama vya siasa havikutani kujadili mambo ya kitaifa badala yake msajili wa vyama na polisi walikutana, ndiyo wasemaji wa vyama vya siasa ,hakuna kuimarisha ama kujenga umoja wa kitaifa
Baada ya serikali ya awamu ya nne kuwekeza katika umoja wa kitaifa, Chadema waliwaita dhaifu na wanachekacheka.

Kazi kwai sasa
 
Back
Top Bottom