Askofu Bagonza: CAG vs TAKUKURU

Huyu mzee ishu ya uraia inamnyima usongizi .bangoza ni mganda pure
Mbona Jiwe ni Mrundi. Nani asiyejua hilo? Naibu waziri wa kilimo ndugu Bashe ni wa nchi gani? Yule mwanaCCM aliyedakwa na Takukuru Tabora akitoa rushwa ni raia wa wapi? Mbona baraza la mawaziri ni mchanganyiko wa watu toka mataifa mbalimbali. Nani anabisha? Anayebisha atwambie Bashe ni wa taifa lipi?
 
Huyu Askofu aguswe aandike kitabu.. Ntakuwa wa kwanza kununua..
Ana falsafa nyingi saana
Ni hatari saana mtu kama huyu kuondoka bila kuacha maandishi kwenye kitabu
Naunga mkono hoja. Kama yumo humu jukwaani naomba alichukue hili. Dear our learned Dr. Bagonza, start thinking of writing a book for heritage of the coming generation, Kindly consider this. Your potentials should remain even if God calls you. I am sure, when the day comes, you will be called by the almighty God read for rest after the job well done!
 
Sipendi kupingana na mawazo ya mtu anayetoa hoja bila Matusi ila Askofu Bagonza Kuna vitu anatakiwa kuwa balanced anaonekana kuipendelea Sana Chadema bila kuikosoa kwa Sera zake za matumizi ya Fedha za michango
 
Mbona Jiwe ni Mrundi. Nani asiyejua hilo? Naibu waziri wa kilimo ndugu Bashe ni wa nchi gani? Yule mwanaCCM aliyedakwa na Takukuru Tabora akitoa rushwa ni raia wa wapi? Mbona baraza la mawaziri ni mchanganyiko wa watu toka mataifa mbalimbali. Nani anabisha? Anayebisha atwambie Bashe ni wa taifa lipi?
Kihava???
 
yule Pasto fake wa River side ubungo ataisoma hii?
Jinga lile. Eti upinzani utapukutika uchaguzi wa 2020! Sasa kama kiongozi wa dini anaombea wapinzani washindwe uchaguzi yeye na shetani wana tofauti gani? Eti huwezi kumkemea wala kumbishia mkuu wa nchi. Namuuliza swali: Mbona Yohana Mbatizaji alimkemea Herode kwa kumnyangánya ndugu yake mke? Japo ilimgharimu maisha kwa kukatwa shingo na kutenganisha kiwiliwili
 
mambo ya visasi na kukomoana yatupiliwe mbali, sote ni watanzania na tunategemeana kulijenga taifa, kipindi cha siasa kimeshapita, tusahameane, sote ni ndugu.
 
Mbona Jiwe ni Mrundi. Nani asiyejua hilo? Naibu waziri wa kilimo ndugu Bashe ni wa nchi gani? Yule mwanaCCM aliyedakwa na Takukuru Tabora akitoa rushwa ni raia wa wapi? Mbona baraza la mawaziri ni mchanganyiko wa watu toka mataifa mbalimbali. Nani anabisha? Anayebisha atwambie Bashe ni wa taifa lipi?

Kama mtu ana asili ya Rwanda, Burundi, India au Uingereza lakini ana Uraia wa Tanzania sioni ka ni tatizo.
 
Huyu mzee ishu ya uraia inamnyima usongizi .bangoza ni mganda pure
Nime kuja kugundua kitu kuna mahusiano makubwa sana kati ya CCM na ujinga, simtukani mtu ila huo ndio ukweli tujitahidi sana kuwapa ndugu zetu somo. madhara ya kukubali kumtegemea mtu kua kinga yako ndio hayo nilazima uwe kama zombie kila kitu unashabikia tuwasaidie wenzetu.
 
Thank you Bishop Bagonza. I think you are among the very few people in Tz who dare to speak the truth! Nakumbuka uliongea tena siku moja kuwa huwezi kuondoa rushwa wewe mtu moja wakati umewaziba midomo wengine wote!!
God bless you Bishop!!!
 
Back
Top Bottom