Askofu Bagonza: ATCL imekosa aibu, basi iwe na huruma

ATCL Imekosa Aibu basi Iwe na Huruma

Ndani ya miezi miwili nikisafiri na ndege za ATCL nimeona haya:

1. Nilishindwa kuhudhuria mazishi ya ndugu na kukaa airport siku nzima

2. Nilishinda uwanjani Dar na kuondoka usiku wa manane siku ya pili.

3. Nilikosa connection ya ndege Dar baada ya ndege kutoka Mwanza kuchelewa kufika

4.Leo nimekesha uwanjani Mwanza (tangu saa Moja jioni Hadi saa 9 alfajiri).

Nashauri kirefu cha ATC kiwe:
"Any Time Cancellation" (ATC).

Tunatia aibu mbele ya wageni.

Pia soma: ATCL yatoa ufafanuzi kuvurugika kwa ratiba za ndege zake, yasema nyingi zilikuwa kwenye matengenezo makubwa!
View attachment 1899014
Alafu aliewahi kuwa mkurugenzi katia hasara mahakama inampa faini ya milioni 8 au jela miaka 4 kwa kutia hasara ya bilioni 100

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani akitumia ndege ya rais kunakuwa hakuna gharama? Pia hatujui Kama hiyo ndege imefanyiwa service au ipo/haipo hapa nchini.

Gharama inakuwepo lakini inakua tofauti kuliko kutumia ndege kubwa kama hii ya dreamliner kwa misele ya hapa na pale. After all nini maana ya kuwa na ndege ya rais kama haitumiki?
 
Wamejitetea kindezi
Msemaji wa ATCL ndugu Josephat Mwingira amesema pamekuwepo na mabadiliko ya mara kwa mara ya ratiba za ndege zao takribani wiki mbili sasa kwa sababu ndege nyingi zilikuwa kwenye matengenezo makubwa.

Mwingira amesema nyingi ya ndege zao zilinunuliwa kwa wakati mmoja ndio maana hata matengenezo yake hufanyika pamoja na kamwe ATCL haiwezi kurusha ndege yenye hitilafu.

Mwingira amewataka mawakala wa kuuza tiketi kuweka namba zao za simu na kuchukua namba za wateja ili wawe wanapewa taarifa ya mapema pindi yanapotokea matatizo.

Source: Star tv habari!

Ndo wamejitetea kisomi kabisa yani.. Utafikiri wanakwepa lawama zetu.

Ha ha h ah aaa
 
ATCL Imekosa Aibu basi Iwe na Huruma

Ndani ya miezi miwili nikisafiri na ndege za ATCL nimeona haya:

1. Nilishindwa kuhudhuria mazishi ya ndugu na kukaa airport siku nzima

2. Nilishinda uwanjani Dar na kuondoka usiku wa manane siku ya pili.

3. Nilikosa connection ya ndege Dar baada ya ndege kutoka Mwanza kuchelewa kufika

4.Leo nimekesha uwanjani Mwanza (tangu saa Moja jioni Hadi saa 9 alfajiri).

Nashauri kirefu cha ATC kiwe:
"Any Time Cancellation" (ATC).

Tunatia aibu mbele ya wageni.

Pia soma: ATCL yatoa ufafanuzi kuvurugika kwa ratiba za ndege zake, yasema nyingi zilikuwa kwenye matengenezo makubwa!
View attachment 1899014
Dkt Magufuli alisema “mtanikumbuka” nadhani askofu ajipange maana wapigaji wamejipanga kuhakikisha atcl inakufa ili wakodi ndege wapate kamisheni.
 
Kipindi cha Dkt Magufuli ilikuwa safi mno, kila raia alifurahia kodi, ila sasa vikundi vya wezi vipo kimkakati zaidi. Tunaamini Dkt Magufuli atarejea tena kwa ukombozi wa Tanzania kutoka kwa majizi.
 
Ukitaka kufahamu umri wa hizi ndege nenda chooni. Hizi ndege hata vikomeo vyake shide, choo zenyewe zinakuonyesha kuwa ni za longi hata kufunga na kufungua kwake ni kwa longi. Mimi karibu nipege kelele kuomba msaada. Tuliuziwa mitumba kwa keshi sababu zilikuwa zipelekwe bangladesh kuwa vyuma chakavu.
Wewe unadhani kwa watu wote duniani si waaminifu kama wewe. Kampuni ya ndege kama Boeing au Airbus haiwezi kufanya biashara za kipuuzi hivyo, mzee. Mimi nilitembelea Boeing Seattle nikaikuta ATCL iko kwenye production line pamoja na ndege nyingine za United Airlines. Ujenzi wa ndege ni project ya muda mrefus, siyo kama unakwenda sokoni na kukuta iko yadi na kujichagulia tu. Katika ndege hizi mpya za ATCL kuna ushahidi wa kutosha kuwa zilianza kujengwa baada ya oda, siyo kuwa zilichukuliwa kwenye yadi na kupakwa rangi kama unavyojiaminisha.

Kama watumiaji wenyewe ni wa aina yako si ajabu ni wewe uliyharibu kutasa hivho kusudi utoe lawama. Watanzania tulivunja viti uwanja wa Taifa hatushindwi kuvuja vitasa hasa kwa vile kuna watu wanachukia ndege hizo; walitaka pesa iliyotumika kuzinunua igawiwe mitaani kama njugu.
 
ATCL Imekosa Aibu basi Iwe na Huruma

Ndani ya miezi miwili nikisafiri na ndege za ATCL nimeona haya:

1. Nilishindwa kuhudhuria mazishi ya ndugu na kukaa airport siku nzima

2. Nilishinda uwanjani Dar na kuondoka usiku wa manane siku ya pili.

3. Nilikosa connection ya ndege Dar baada ya ndege kutoka Mwanza kuchelewa kufika

4.Leo nimekesha uwanjani Mwanza (tangu saa Moja jioni Hadi saa 9 alfajiri).

Nashauri kirefu cha ATC kiwe:
"Any Time Cancellation" (ATC).

Tunatia aibu mbele ya wageni.

Pia soma: ATCL yatoa ufafanuzi kuvurugika kwa ratiba za ndege zake, yasema nyingi zilikuwa kwenye matengenezo makubwa!
View attachment 1899014
Ndege anatumia Katibu mkuu wa ccm tena bila malipo
 
  • Nzuri
Reactions: BAK

Kwahiyo Mwendazake alituongopea?
 
Dkt Magufuli alisema “mtanikumbuka” nadhani askofu ajipange maana wapigaji wamejipanga kuhakikisha atcl inakufa ili wakodi ndege wapate kamisheni.
Makampuni ya ndege mengi hayanunui ndege kwa cash siku hizi. Mengi yanakodi. Ukikodi gharama za matengenezo na updates zinakuwa za mwenye ndege. Ingekuwa tumekodi, zikienda service tungepewa za ku replace. Hata kwenye magari siku hizi taasisi hazinunui bali zina lease. Hata kwenye software. Watu wana subscribe badala ya kununua outright. Ukikodi ukiona biashara ina kataa unamrudishia mwenyewe. Na kwa vile unatakiwa kila wakati inakufanya uwe serious kwenye kuhakikisha zinaingiza faida. Sasa hivi hatujali sana maana ni zetu na hamna anayetudai.

Amandla...
 
ATCL Imekosa Aibu basi Iwe na Huruma

Ndani ya miezi miwili nikisafiri na ndege za ATCL nimeona haya:

1. Nilishindwa kuhudhuria mazishi ya ndugu na kukaa airport siku nzima

2. Nilishinda uwanjani Dar na kuondoka usiku wa manane siku ya pili.

3. Nilikosa connection ya ndege Dar baada ya ndege kutoka Mwanza kuchelewa kufika

4.Leo nimekesha uwanjani Mwanza (tangu saa Moja jioni Hadi saa 9 alfajiri).

Nashauri kirefu cha ATC kiwe:
"Any Time Cancellation" (ATC).

Tunatia aibu mbele ya wageni.

Pia soma: ATCL yatoa ufafanuzi kuvurugika kwa ratiba za ndege zake, yasema nyingi zilikuwa kwenye matengenezo makubwa!
View attachment 1899014
Askofu, Any Time Cancellation ndiyo kirefu cha ATC tangu zamani na jina hili walipewa na Adamu Lusekelo (RIP)
 
ATCL Imekosa Aibu basi Iwe na Huruma

Ndani ya miezi miwili nikisafiri na ndege za ATCL nimeona haya:

1. Nilishindwa kuhudhuria mazishi ya ndugu na kukaa airport siku nzima

2. Nilishinda uwanjani Dar na kuondoka usiku wa manane siku ya pili.

3. Nilikosa connection ya ndege Dar baada ya ndege kutoka Mwanza kuchelewa kufika

4.Leo nimekesha uwanjani Mwanza (tangu saa Moja jioni Hadi saa 9 alfajiri).

Nashauri kirefu cha ATC kiwe:
"Any Time Cancellation" (ATC).

Tunatia aibu mbele ya wageni.

Pia soma: ATCL yatoa ufafanuzi kuvurugika kwa ratiba za ndege zake, yasema nyingi zilikuwa kwenye matengenezo makubwa!
View attachment 1899014
Nifahamishe: hili tukio lilitokea siku hiyo hiyo (ukakesha kwa kuwa ulikosa connection kwenda msibani) au ni matukio ya wiki nzima tofauti? I mean, kama ni siku tano mfululizo ndege haitokei au inachelewa, that is a week lost; nadhani nchi ingeyumba tungesikia (mathalani Bunge kuahirishwa au wawekezaji Gwanzhou kusota airport siku 4 au vilio vya waombolezaji).

Pia je, hii ni Dar es Salaam au vitongojini Kyerwa au Masasi? Nauliza hivi kwa vile kule Pemba ATC walishaibatiza kuwa ni "any time CENCELLED". Ni isolated case, lakini Pemba ni padogo.

La mwisho - keep your voice down - wasaliti wetu mnasahau majuzijuzi tu Rais wetu alikuwa anasoteshwa hivi hivi na Kenya Airways
 
Yaani mi sielewi kwanini SSH hataki kutimua huyu mkurugezi?, Mbona anaua ATCL wanamwangalia yaani hawana habari naye
Dawa sio kutimua watu. Dawa waruhusu akina Masha kurudisha uwekezaji na mashirika mengine binafsi yawepo.

Kiukweli kwa sisi watanzania tulio wengi hatujui kulinda clients wetu, hata watu wanaoleta misaada ambao inatupasa kuonesha hata kujali japo kwa unafiki, huwa tunatoa huduma mbovu sana....our customer care is rotten mazee....mtu anakuhudumia as if amelazimishwa kuwa kwenye hiyo nafasi.
 
Back
Top Bottom