Askofu awaasa Watanzania kumwombea Rais Kikwete

Tumsamehe. Ni askofu mbu mbu mbu. Hajui asemalo.
I think he's just 1 of those bootlickers. Kanunuliwa na Makamba ili ampambe boss wake
 
Hapo kwa ushauri ni kumuomba Mungu amsaidie kulola aweze kuwa na fikra na uelewa ndipo tuendelee kumkemea pepo aliye muingia kikwete
 
Wana JF, nafikiri huyu Kulola askofu, nafikiri alikua anataka kuwapima wanaoshadadia kuwa maaskofu wanachanganya dini na siasa, kwaniNINAVYOMJUA MIMI, HUYU ALITAKA KUONA IMPACT YA MASHEHE. Isitoshe huyu ni mzee sana nafikiri hata kutembea hawezi, Ndugu zangu tumsamehe bure huyu babu.
 
Hivi huyo Askofu anatoka pori gani? Mara hii tu amesahau kwamba Kikwete anao ulinzi wa majini? Tumuombee ulinzi kwa Mungu yupi tena? Askofu amuulize kwanza Sheikh Yahya iwapo yuko tayari kuingiliwa katika kazi yake...

Tafuta picha zake anaumwa nadhani kaparalize ubongo na nusu mwili alafu pili ni mzee kuliko hata babu yako na babu yangu nadhani wagonjwa wanatafutana!! kupeana moyo
 
Kulola ni mjasiriamali anayetegemea huruma ya serikali kuendesha biashara yake ya kanisa
 
Bora nijifanye kwamba sijasikia kitu na wala hakuna kiongozi yoyote Tanzania kaongea.

Sana sana, niwashauri Mary Chatanda, Makamba na lile Baraza la Waislamu la kule Arusha; kwa pamoja wote watoe tamko au hata kushinikiza Mosesi Kulola avue baadhi ya nguo zake mwilini kwa sababu KAINGILIA MASWALA YA KISIASA nchini.

Chonde, hii mitamko tusipoisoma kesho magazetini basi WANAFIKI watakua wamejulikana wazi bila hata haja ya kuelekezeana vidole. Wana jf, maoni yenu kwa pendekezo hili???
 
na bado kikenge cha watu wa chuki roho za kwanini mtasema usiku mtalala jk ndo rais wetu mpendwa tunayependezwa nae. Acheni maneno ya kike,
 
Moses Kulola mshauri jk ajiombee mwenyewe kabla hajaombewa. Mkwere atavuna alichopanda siku si nyingi. Kama alipanda mahindi basi atayavuna mahindi kama ni mabichi au makavu na si mpunga kama anavyofikiri. Aanze kuandaa vibanda vya kuhifadhi mazao. Kitaeleweka wakati wa mavuno.
 
Kwa hilo askofu napingana na wewe, hivi kweli unajua hali ya maisha ya waumini wako na watanzania kwa ujumla au kwakuwa hawaji kukulalamikia wewe. Au wewe unajifanya unaishi wapi kiasi kwamba huoni hali za watanzania wa kawaida na jinsi maisha yanavowakimbiza????
 
dos santos abu huraira swahaba wa mtume muhamad anasema kua mtume alifundisha kua dua nzuri ni ile ya kujiombea mwenyewe huku ukidum ktk ibada, swali je kikwete alishahidilia kwa dhat kua hakuna mungu ila allah na muhamad ni mjumbe wake, je anadum ktk sala tano?pia anafunga mwezi wa ramadhan?je anatoa zaka?na pia anaenda kuhiji maka?dua gani tumuombee fisadi mwizi wa kura?freemason mshirika wa akina sir chande,rostam aziz na reginald mengi? Mungu atamuhukum hapahapa duniani na asubiri anguko lake atakua rais wa kwanza kufia ktk ikulu ya tanganyika yeye na shekh yahaya wake na majini yao hawazishindi nguvu za mungu. Nimemaliza.
 
askofu anaogopa na yeye yasije yakamkuta kukataliwa na waumini, lazima a-organize support walau siku kanisani pakishindikana apelekewe ffu kutuliza maadui zake!!
 
Back
Top Bottom