Askofu Augustino Mpemba: Kama TAKUKURU peke yao wanaweza kubambikiza kesi 147 je, Watanzania wangapi wamefungwa na kuonewa kwa kesi za uongo?

Kwa upande wa polisi nadhani hizo 147 zitakuwa za Wilaya moja pekee
Tena katika kipindi cha miaka mitano? Labda 147 ni kwa kituo kimoja tuu cha polisi.
DAWA NI NINI?
Dawa kila wilaya iundwe tume ya watu wachache mathalani 10 itakayopokea malalamiko ya wananchi na kujadili kuona ukweli wa malalamiko yatakayo tolewa kwa kesi zitakazo lalamikiwa au zilizohukumiwa lakini zenye viashiria vya ubambikaji.
Wajumbe wawe mchanganyiko wa viongozi wa dini, wanasheria wastaafu, wanaharakati na maafisa waadilifu wa uchunguzi.
Maoni yao yataisaidia ofisi ya DPP na ofisi ya Rais katika kutoa misamaha kwa walio hukumiwa tayari
 
Lais magufury alidhibiti sana uvunjaji wa sheria kiholela kwenye hili taifa la wajinga wajinga
 
Upande mwingine linaonekana ni jambo jema limefanyika kuweza kufutia raia wema wengi waliokuwa wakikabiliwa na kesi 147 za kubumba na kuteseka pasipo sababu.

Lakini pia ni aibu kubwa kwa upande mwingine kwa serikali hii ya CCM na ingekuwa nchi hii ni moja ya nchi zilizostarabika ilitakiwa ijiuzulu kwa kushindwa kuchukua hatua thabiti kwa wahusika na tabia hiyo wakiwa watumishi wenye viapo wa umma.

Naungana kwa % na Askofu Mpemba akielezea pamoja na mkasa uliompata wa TAKUKURU na jinsi tunavyo onekana kwa nchi zingine zenye ustaarabu.

Hii ni aibu kwa Rais mwendazake kuachia taasisi hizo kutenda hayo na kwa mama Samia kwa kukubali tuu kesi kufutwa na kuwaacha wahusika ofisini.

Msikilize Askofu Mpemba;

Binafsi naamini kuna machozi ya Watanzania wengi waliokuwa wakinyanyasika kutokana na mfumo wa ukandamizaji wa Mwanakwenda, machozi hayo yamefika kwa MUNGU, naye akaona asishindane nae, ni kumtwaa tu watu wasiendelee kuonewa.
Siwasikii tena wale waliokuwa wakisema mi- 5 tena, wanafiki, wako wanamsifia SSH kwamba anafungua milango ya ushirikiano wa kimataifa, utadhani enzi wa JIWE watu hawa hawakuwepo.....
 
Lais magufury alidhibiti sana uvunjaji wa sheria kiholela kwenye hili taifa la wajinga wajinga
Rudi darasani ukajifunze kwanza kuandika, maana hata jina la Marehemu hujui jinsi ya kuliandika, utawezaje kuwa na ufahamu kama JIWE aliweza kusimamia sheria.....
 
Kama nyinyi majidhi wa mari za huma aliwabana sana hadi mkawa mnamuombea mabaya.
 
Upande mwingine linaonekana ni jambo jema limefanyika kuweza kufutia raia wema wengi waliokuwa wakikabiliwa na kesi 147 za kubumba na kuteseka pasipo sababu.

Lakini pia ni aibu kubwa kwa upande mwingine kwa serikali hii ya CCM na ingekuwa nchi hii ni moja ya nchi zilizostarabika ilitakiwa ijiuzulu kwa kushindwa kuchukua hatua thabiti kwa wahusika na tabia hiyo wakiwa watumishi wenye viapo wa umma.

Naungana kwa % na Askofu Mpemba akielezea pamoja na mkasa uliompata wa TAKUKURU na jinsi tunavyo onekana kwa nchi zingine zenye ustaarabu.

Hii ni aibu kwa Rais mwendazake kuachia taasisi hizo kutenda hayo na kwa mama Samia kwa kukubali tuu kesi kufutwa na kuwaacha wahusika ofisini.

Msikilize Askofu Mpemba;

Haya maccm yanatakiwa kuja kugeuziwa kibao ili na menyewe yalionje joto hili la kubambikwa kesi, na huyu Rais anakosea, alitakiwa awafukuze kazi hao wahusika wote wa takukuru na washtakiwa mahakamani na waende magereza wakaone yale waliowafanyia watu wasio na hatia
 
Tujifunze kusahau

KUSAHAU!!? Eti,
Ndugu umeshawahi kubambikiwa kesi wewe Hiyo ofisi imekosa sifa. Ni bora ivunjwe vunjwe na kusukwa upya. Hao wafanyakazi wao waliofanya hizo vitu ilipaswa wafukuzwe kazi na kufunguliwa mashtaka maana wameenda kinyume cha maadili na miiko yao ya kazi. Aisee tunafeli sana, au huenda sijaelewa kusahau nini hasa
 
Hapo sidhani kama Takukuru watafanya kazi tena na rushwa na ubadhirifu utashamiri sana. Kesi za kubambika au zenye ushahidi mdogo? Hapo lawama kama kweli ni kwa DPP maana kesi za Takukuru haziendi mahakamani bila idhini ya DPP.
Hao takukuru ya mjishi unao watetea weredi 0 . wamewahi kukwepa kuwashitaki walarushwa wanasiasa eti wakashitakiwe na chama chao. Hii ni taasis miyeyusho kabisa
 
Katiba Mpya
Ndiyo Jibu Wote Wanaosema Na Kuilaumu PCCB Nadhani
Hawajui Katiba Tuliyonayo Inampa Rais Kuamua Lolote
 
Back
Top Bottom