Askofu Augustino Mpemba: Kama TAKUKURU peke yao wanaweza kubambikiza kesi 147 je, Watanzania wangapi wamefungwa na kuonewa kwa kesi za uongo?

Upande mwingine linaonekana ni jambo jema limefanyika kuweza kufutia raia wema wengi waliokuwa wakikabiliwa na kesi 147 za kubumba na kuteseka pasipo sababu.

Lakini pia ni aibu kubwa kwa upande mwingine kwa serikali hii ya CCM na ingekuwa nchi hii ni moja ya nchi zilizostarabika ilitakiwa ijiuzulu kwa kushindwa kuchukua hatua thabiti kwa wahusika na tabia hiyo wakiwa watumishi wenye viapo wa umma.

Naungana kwa % na Askofu Mpemba akielezea pamoja na mkasa uliompata wa TAKUKURU na jinsi tunavyo onekana kwa nchi zingine zenye ustaarabu.

Hii ni aibu kwa Rais mwendazake kuachia taasisi hizo kutenda hayo na kwa mama Samia kwa kukubali tuu kesi kufutwa na kuwaacha wahusika ofisini.

Msikilize Askofu Mpemba;

Askofu endelea kuongea ukweli Mungu yupo nawe
 
Magufuli alikuwa shetani. Magufuli kwa kila aina ya matendo yake kufa ilibidi afe tu. Tundu Lissu alisema Magufuli lazima aondoke na kweli kaondoka. Mbowe alisema Magufuli ndie atakuwa rais wa awamu moja na kweli imekuwa. Alileta Tanzania mbaya sana alitengeneza kundi la wauaji na watesaji. SSH inabidi avunje hata kuwafunga kimyakimya watesi wetu wote. Vyema angeanza na kuifumua TISS. Yule mzee alikuwa zaidi ya Zimwi na komwe lake lile katesa sana watu bila makosa.
 
Back
Top Bottom